MASTAA WATATU WENGINE WAPYA WANAOFUNGA USAJILI SIMBA HAWA HAPA
WAWAKILISHI wa Tanzania katika Ligi ya mabingwa Afrika, Simba watafunga usajili wa Shirikisho la soka Afrika (Caf), kwa kushusha mashine za maana…
Fuatilia habari zote mpya za <strong>Simba SC</strong>, kuanzia usajili, kikosi, ratiba na matokeo ya mechi hadi taarifa za wachezaji, makocha na mashindano. Soka la Bongo inakuletea habari za <strong>Simba SC</strong> kila siku kutoka Tanzania na mashindano ya Afrika.
WAWAKILISHI wa Tanzania katika Ligi ya mabingwa Afrika, Simba watafunga usajili wa Shirikisho la soka Afrika (Caf), kwa kushusha mashine za maana…
OPPAH Clement mshambuliaji wa kikosi cha Simba Queens amekuwa ni mchezaji wa kwanza kufunga mabao saba ndani ya Ligi ya Wanawake msimu…
KOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes amesema kuwa mshambuliaji wake mpya, Junior Lokosa bado sana kuingia kwenye mfumo kwa kuwa hajawa fiti…
KOCHA mpya wa Simba, Didier Gomes ameanza kibarua rasmi cha kuinoa timu hiyo muda mfupi baada ya kutambulishwa na baada ya kuongoza…
KLABU ya Al Hilal leo Januari 26 imewasili ardhi ya Tanzania ikitokea nchini Sudan kwa ajili ya maandalizi ya Simba Super…
KIUNGO mshambuliaji wa klabu ya Simba, Luis Miquissone ‘Konde Boy’ amewasili rasmi leo jijini Dar es Salaam akitokea nchini Msumbiji, alipokuwa kwa…
ALIYEKUWA kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera raia wa DR Congo amesema kuwa anavutiwa na viwango vya ubora wa nyota wa Simba huku…
AKIWA sehemu ya wachezaji walioanza rasmi mazoezi kwenye siku ya kwanza ya kocha mpya wa Simba Mfaransa, Didier Gomes Da Rosa kiungo…
PETER Muduhwa amejiunga rasmi na kikosi cha Simba leo Januari 26 anatarajiwa kutambulishwa Januari 27 kwenye Simba Super Cup. Muduhwa amejiunga na…
IKIWA tayari Klabu ya Simba imeanza maandalizi ya Simba Super Cup baadhi ya wachezaji bado hawajaanza mazoezi na timu kutokana na sababu…
BERNARD Morrisonn kiungo mshambuliaji wa Simba ni miongoni mwa nyota ambao wameanza kufanya kazi na mrithi wa mikoba ya Sven Vandenbroeck, Didier…
KOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes amesema kuwa anawatambua vema wachezaji wake wa timu hiyo hivyo hana mashaka katika mechi zake…