MFARASA WA SIMBA AANZA KAZI NA MABAO 17
DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba, raia wa Ufaransa ameanza kazi rasmi ya kukinoa kikosi hicho akiwa na mitambo iliyotupia…
Fuatilia habari zote mpya za <strong>Simba SC</strong>, kuanzia usajili, kikosi, ratiba na matokeo ya mechi hadi taarifa za wachezaji, makocha na mashindano. Soka la Bongo inakuletea habari za <strong>Simba SC</strong> kila siku kutoka Tanzania na mashindano ya Afrika.
DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba, raia wa Ufaransa ameanza kazi rasmi ya kukinoa kikosi hicho akiwa na mitambo iliyotupia…
KOCHA mkuu wa klabu ya Simba, Didier Gomes Da Rosa amefunguka kuwa malengo yake ni kuhakikisha anatengeneza kikosi imara ambacho kitakuwa na…
MSHAMBULIAJI mpya wa klabu ya Simba raia wa Nigeria, Junior Lokosa amefunguka kuwa malengo yake makubwa ya kujiunga na Simba ni kuja…
BERNARD Morrison amesema kuwa atazidi kufanya vizuri ndani ya kikosi chake cha Simba licha ya wengi kueleza kuwa ana hernia jambo ambalo…
UONGOZI wa Simba umesema kuwa bado haujapata vibali vya kumtumia mchezaji wao mpya, Perfect Chikwende,(ITC) kutoka Shirikisho la Soka la Zimbabwe ila…
THOMAS Ulimwengu nyota Mtanzania anayekipiga ndani ya kikosi cha TP Mazembe amesema kuwa anafurahi kurejea nyumbani akiwa na timu yake hiyo ya…
PETER Mudhuwa, beki mpya ndani ya Klabu ya Simba, raia wa Zimbabwe amesema kuwa anataka kuwa sehemu ya kikosi cha kwanza kutakachoanza…
KOCHA mpya wa Simba, Didier Gomes ameukubali uwezo wa nyota mpya, Mzimbabwe Perfect Chikwende lakini akasema Mnigeria Junior Lokosa anahitaji muda. Kocha…
Mchezo wa ufunguzi wa michuano ya Simba Super Cup kati ya Simba na Al Hilal umemalizika kwa Simba kuibuka na ushindi mnono…
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes kimeibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Al Hilal kwenye mchezo wa…
HIKI hapa kikosi cha Simba kitakachoanza leo Januari 27 dhidi ya Al Hilal mchezo wa mashindano ya Simba Super Cup, Uwanja wa…
KIKOSI cha TP Mazembe kutoka Congo tayari kimewasili ndani ya ardhi ya Bongo kwa ajili ya kushiriki Simba Super Cup. TP Mazembe…