Mbio Mpya Ya Paka Na Panya Yafika Meridianbet
Kuna mbio mpya mjini, lakini safari hii si ya uwanjani, ni ndani ya kasino. Cat ’n’ Rat, mchezo mpya wa sloti kutoka GameArt, umeingia Meridianbet ukiwaleta pamoja paka mjanja na panya mwenye ujanja wake. Kuanzia sasa hadi Oktoba 13, 2026, wachezaji wanaweza kuingia kwenye kasino na kuonja burudani ya mchezo huu wenye vipengele vya kipekee.
Kila raundi kwenye Cat ’n’ Rat inaweza kuwa mwanzo wa tukio jipya. Wachezaji wanaopata alama tisa zinazolingana wanafungua Card Reveal, huku kupata Scatter tatu kwenye mchezo kukifungua mizunguko ya bure. Ndani ya bonasi hiyo kuna nafasi ya kufurahia hadi mizunguko ya bure 25, jambo linaloongeza muda wa kukimbizana na paka pamoja na panya.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Lakini usifikiri paka amekuja kucheza kawaida. Dead Cat ana uwezo wa kuwa kubwa zaidi wakati wa mizunguko ya bure. Anaweza kutanuka na kujaza reel nzima, akibadilisha nafasi ya alama za kawaida na kusaidia kutengeneza mistari ya ushindi. Kwa upande wa pili, Rancid Rat anaingia na vizidishi ambavyo vinaweza kuongeza thamani ya mchanganyiko unaoshinda.
Kuna kitu kingine cha kuifanya mbio hii iwe ndefu zaidi. Scatter zikionekana tena wakati wa mizunguko ya bure, mizunguko inaweza kurudi tena, na safari ikaendelea huku faida za vizidishi zikikusanyika. Kwa kifupi, kila mzunguko unaweza kubadilisha mwelekeo wa mchezo na kufanya mbio za paka na panya kuwa na msisimko zaidi.
Kwa hiyo, kama unapenda michezo mipya yenye matukio tofauti, Cat ’n’ Rat imekuja na safari yake maalum. Fungua Meridianbet, ingia kwenye mchezo huu mpya wa GameArt na ujionee mwenyewe kinachoendelea kati ya Dead Cat na Rancid Rat.