KOCHA MAZEMBE : NITAMCHUKUA LARRY BWALYA KUTOKA SIMBA..!!
KOCHA Mkuu wa Timu ya TP Mazembe, Felix Mwamba amesema kikosi cha Simba kimejaa wachezaji wengi wazuri lakini akiambiwa kuchagua mmoja kati…
Fuatilia habari zote mpya za <strong>Simba SC</strong>, kuanzia usajili, kikosi, ratiba na matokeo ya mechi hadi taarifa za wachezaji, makocha na mashindano. Soka la Bongo inakuletea habari za <strong>Simba SC</strong> kila siku kutoka Tanzania na mashindano ya Afrika.
KOCHA Mkuu wa Timu ya TP Mazembe, Felix Mwamba amesema kikosi cha Simba kimejaa wachezaji wengi wazuri lakini akiambiwa kuchagua mmoja kati…
KUELEKEA kwenye mchezo wa kilele cha mashindano ya Simba Super Cup, kesho Januari 31, Uwanja wa Mkapa Kocha Mkuu wa Klabu ya…
MFARANSA wa Simba, Didier Gomes amewaambia wachezaji kwamba hataki mbwembwe nyingi za ‘anao anao’ yeye ni ‘unagusa unaachia twende’. Gomes amesisitiza kwamba…
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa zawadi atakazopata bingwa wa michuano ya Simba Super Cup iliyoanza Januari 27, 2021 ni fedha taslimu shilingi…
DILI la kiungo, Doxa Gikanji raia wa Congo limekufa, kwa mujibu wa CEO wa Simba, Barbara Gonzalez. Barbara amesema kuwa kilichokwamisha dili…
OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa msanii Zuchu ambaye anafanya vizuri na ngoma yake ya sukari atatumbuiza kwenye kilele…
ILE staili ya ushangiliaji ya nyota wa Simba, Benard Morrison kwenye mchezo wa juzi dhidi ya Al Hilal ya Sudan imezua mijadala…
SIMBA ndio wawakilishi pekee wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika na ratiba ambayo Shirikisho la Soka la Afrika (Caf)…
KOCHA Mkuu wa Klabu ya Al Hilal ya Sudan, Zoran Manojlovic amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo dhidi…
BARBARA Gonzalez, Mtendaji Mkuu wa Simba amesema kuwa Yanga wanamnga’nga’nia mchezaji wao wa zamani Bernard Morrison. Nyota huyo ambaye alisaini dili la…
KOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes amesema kuwa ndani ya uwanja amewaambia wachezaji wake wapambane kusaka mabao mengi ili kujiweka salama ndani…
KOCHA mkuu wa klabu ya Simba, Didier Gomes Da Rosa amefunguka kuwa anataka kuona kikosi chake kinatwaa makombe katika michuano yote wanayoshiriki,…