KISHINDO KIPYA UWANJANI NA MZIZE
BAADA ya kipindi kirefu cha kuwa nje ya uwanja, mshambuliaji wa Yanga SC, Clement Mzize, amerejea rasmi kuendelea na mazoezi ya ushindani…
Browse all posts in this category.
BAADA ya kipindi kirefu cha kuwa nje ya uwanja, mshambuliaji wa Yanga SC, Clement Mzize, amerejea rasmi kuendelea na mazoezi ya ushindani…
WAKATI kocha mkuu wa Simba SC, Steve Barker, akiwasisitiza viongozi wa klabu hiyo kuingia sokoni kusaka beki wa kuimarisha safu ya ulinzi,…
BEKI wa kulia wa Pamba Jiji ya Mwanza, Yunus Lema ameshindwa kulishawishi benchi la ufundi la timu hiyo kumrejesha kikosini katika dirisha…
Meridianbet imeendelea kupanua wigo wa mchango wake kwa jamii kwa kuelekeza nguvu zake katika eneo linalogusa moja kwa moja maisha ya kila…
BAADA ya Timu ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars kupangwa kundi B ya michuano ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON), Nahodha wa kikosi…
Je unajua kuwa Meridianbet ndio baba lao kwenye kutoa ODDS KUBWA?. Kila mechi ambayo inapigwa inakuwa tayari ina machaguo zaidi ya 1000…
SIKU chache tu tangu winga wa Simba, Edwin Balua kuondoka Enosis Neon Paralimniou inayoshiriki Ligi Kuu Cyprus ikiwa na maskani katika Jiji…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Pedro Goncalves, anakabiliwa na wakati mgumu baada ya klabu hiyo kutakiwa kupunguza idadi ya wachezaji wa kigeni ili…
UONGOZI wa klabu ya Simba umeendelea kuchukua hatua madhubuti za kuimarisha timu kwa kumtambulisha rasmi Kristopher Bergman kama kocha msaidizi mpya katika…
BAADA ya siku 40 za kupisha Michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) 2025 na Kombe la Mapinduzi 2026, Ligi Kuu Bara…
KIKOSI cha Mashujaa FC tayari kimeshatua jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mechi ya kiporo cha Ligi Kuu Bara dhidi ya…
TIMU ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania, Twiga Stars imepangwa Kundi B katika fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake…