KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA GUINEA
KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kitakachoanza leo Januari 27 dhidi ya Guinea kuwania tiketi ya kutinga hatua ya…
Browse all posts in this category.
KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kitakachoanza leo Januari 27 dhidi ya Guinea kuwania tiketi ya kutinga hatua ya…
LEO ni leo asemaye kesho huwa anatajwa kuwa ni muongo. Huu ni msemo ambao wahenga walitufundisha zama zile wakati wa matatizo makubwa…
KIUNGO mkabaji wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Baraka Majogoro, amefunguka kuwa wamejipanga kupambana kwa nguvu kubwa kuhakikisha wanawafunga…
JOHN Bocco, nahodha wa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa wachezaji wapo tayari kwa ajili ya mchezo…
KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Etienne Ndayiragije amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho,…
HATIMAYE droo ya makundi ya fainali za mataifa ya Afrika kwa vijana wenye umri chini ya miaka 20 (Afcon U-20) imechezeshwa leo…
FARID Mussa, kiungo wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa kwa sasa hesabu kubwa ni kwenye mchezo wao wa…
FARID Mussa kiungo wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, usiku wa kuamkia leo aliwamaliza Namibia kwa kuwatungua bao moja na…
Karibu kutazama mechi ya kwanza ya kundi D, Kati ya Namibia Vs Tanzania, Chagua linki hapo chini kutazama LIVE kutoka Cameroon Link…
KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kitakachoanza kwenye mchezo wa leo dhidi ya Namibia utakaopigwa kwenye uwanja wa Limbe/Buea,…
BAADA ya kupoteza mchezo wake wa kwanza kwa kufungwa mabao 2-0 dhidi ya Zambia wachezaji wamekubaliana kucheza mchezo wa leo kama fainali…
KOCHA mkuu wa klabu ya Biashara United, Francis Baraza amefunguka kuwa kama kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars inataka…