BAADA YA KUONA SIMBA WAKO ‘SIRIAZI SANA’ ….NABI KAGUNA , KISHA AKAFUNGUKA HAYA MAPYA…KAANZA...

0
Benchi la Ufundi la Young Africans limekiri kuwa mchezo dhidi ya Simba SC hautakua rahisi kama inavyochukuliwa na Mashabiki wa klabu hiyo ambao msimu...

MECHI YA LEO NA JEURI YA PESA…YANGA WAWEKA NUSU BILIONI …SIMBA WAJIBU WAPIGO KIBABE..PABLO...

0
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumamosi.

NDOTO ZA MORRISON KWA GHANA ZAZIDI KUPOTEA…AWEKWA KANDO MAZIMA…HAWANA HABARI NAYE KABISA YANI…

0
Licha ya mara kadhaa kulalamikia kutoteuliwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Ghana 'Black Star', mshambuliaji Bernard Morrison ameendelea kufungiwa vioo na benchi...

ULIIKOSA BILIONI MOJA YA SportPesa YA JACKPOTI ILIYOPITA..?..SASA MZIGO UMERUIDISHWA TENA…CHEZA KWA BUKU TU…

3
KAMPUNI ya Michezo na Burudani SportPesa jana imezindua rasmi Jackpot mpya inayoitwa Supa Jackpot kama moja ya huduma yao nyingine kwa wachezaji wake.Akizungumza ofisini...

SAKATA LA NTIBAZONKIZA NA AMBUNDO KUSIMAMISHWA…MANARA ASHINDWA KUJIZUIA…NAYE KAIBUKA NA HILI…

0
Msemaji wa klabu ya Yanga Haji Manara ameeleza kuhusu kusimamishwa kwa wachezaji wa Klabu hiyo Saido Ntibazonkiza na Dickson Ambundo."Ni kweli wachezaji hawa kocha...

KUELEKEA MECHI YA KESHO….MAYELE AFUNGUKA ATAKACHOWAFANYA SIMBA…”LAZIMA TIMU MOJA IPITE”…

0
Mshambuliaji tegemeo wa Yanga, Fiston Mayele, amesema kuwa ili wafanikiwe kubeba makombe yote mawili yaliyobaki, ni lazima wawafunge watani wao, Simba.Yanga na Simba zinatarajiwa...

AHMED ALLY : – KUBEBEA UBINGWA NI FARAJA KWETU..LAKINI KUMFUNGA YANGA KESHO NI FURAHA...

0
Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu, Ahmed Ally ameweka wazi kuwa hawana nafasi ya kuchukua taji la Ligi Kuu msimu huu ndiyo maana wameweka...

ISHU YA KUTOROKA KAMBINI…AMBUNDO AANIKA KILA KITU WAZI…ADAI MLINZI ‘KAWACHOMESHA’….

0
Dickson Ambundo ambaye ni mmoja ya wachezaji wa Yanga wanaotajwa kufukuzwa katika kambi ya timu hiyo amesema kuwa yeye alimuomba ruhusa ya kutoka kwa...

KUELEKEA MECHI NA SIMBA KESHO…NABI AWAAMULIA KINA AUCHO…AWAPA MAZOEZI MAALUMU YA ‘KUBAMIZA’…

0
KATIKA kuhakikisha kikosi chake kinaimarika katika kila idara, Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, amewaongezea program ya mazoezi wachezaji wake wakiongozwa na Khalid Aucho...

HATIMAYE SIMBA WAKUBALI YAISHE KWA YANGA…AHMEDI ALLY AKIRI MAMBO MAGUMU KWAO MSIMU HUU…

0
 Klabu ya Simba imekiri kuwa mambo ni magumu na hakuna uwezekano wa kuwazidi kete watani wao Yanga katika mbio za kutwaa ubingwa wa Ligi...