Trending Stories
View All
KUMBE KOCHA SIMBA HAJUI SABABU YA VIPIGO KUTOKA KWA WAJEDA
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa bado hajajua sababu ya kupoteza mechi mbili mfululizo jambo ambalo linampa tabu…
RUVU SHOOTING: TULIWAAMBIA SIMBA MAPEMA KWAMBA TUTAWAPAPASA, WALIPUUZA
OFISA Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire amesema kuwa aliwapa tahadhari mapema wapinzani wake Simba kabla ya kukutana nao uwanjani…
NYOTA YANGA AFIKIRIA UBINGWA WA LIGI KUU BARA
BAADA ya kupachika bao lake la kwanza akiwa ndani ya Yanga, Wazir Junior amesema kuwa hesabu zake ni kuona…
AZAM FC:TULIPASWA KUFUNGWA, PRESHA ILIKUWA KUBWA
THABIT Zakaria, Ofisa Habari wa Azam FC amesema kuwa walipaswa kufungwa na Mtibwa Sugar ili kuondoa presha kwa wachezaji…
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la CHAMPIONI Jumatano
YANGA WANA JAMBO LAO KANDA YA ZIWA
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Cedric Kaze kimeendela kujiweka sawa kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu…
STARS NI YETU SOTE TUIPE SAPOTI, USHINDANI WA LIGI ACHA UENDELEE
KWENYE ulimwengu wa mpira kwa sasa ni Ligi Kuu Bara pamoja na ile Ligi Daraja la Kwanza ambazo zinaendelea…
MKUDE AGANDA NA KITAMBAA CHA UNAHODHA DAKIKA 90
JONAS Mkude, kiungo mkabaji ndani ya Simba ambaye ana uhakika wa namba kikosi cha kwanza Oktoba 26 wakati timu…
HIKI NDICHO WANACHOKITAKA
Anaandika Saleh Jemba Bahati MBAYA, mchezo wa soka huwa hautoi furaha ya milele kwa UPANDE mmoja. Tunaweza kujifunza msimu huu…
SIMBA YAOMBA MSAMAHA BAADA YA KUCHEZESHWA PIRA GWARIDE DAKIKA 180
BAADA ya kuchezeshwa pira gwaride ndani ya dakika 180 kwa msimu wa 2020/21 kwenye Ligi Kuu Bara na kuyeyusha pointi…
SARPONG: MUDA WANGU WA KUFUNGA BONGO UMEWADIA
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mghana, Michael Sarpong, amesema kuwa anaamini wakati wake wa kufunga mabao ndani ya timu hiyo umeshafika baada…
BM HATAHATI KUIKOSA YANGA NOVEMBA 7
KIUNGO wa Simba, Bernard Morrison kuna hatihati akaukosa mchezo wa dabi ya Kariakoo unaotarajiwa kuchezwa Novemba 7 dhidi ya watani…
LIVERPOOL, MANCHESTER UNITED ZAIWINDA SAINI YA BERGMANN
BERGMANN Johannesson mwenye miaka 17 anayecheza ndani ya Klabu IFK Norrkoping amewekwa kwenye rada za mabosi wa Liverpool, Juventus na Manchester…
SIMBA KUSHUSHA WINGA MATATA
INAELEZWA kuwa uongozi wa Simba upo katika mchakato wa kumshusha winga wa kimataifa wa Msumbiji, Pachoio Lau Há King…
MTIBWA SUGAR: AZAM FC WALIKUWA WANAKUTANA NA TIMU NDOGO
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa kikubwa ambacho kinawabeba ndani ya uwanja ni juhudi na kujituma kwa wachezaji wao matokeo…
AZAM FC:HAIKUWA FUNGU LETU MTIBWA SUGAR
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa mchezo wao dhidi ya Mtibwa Sugar halikuwa fungu lao la kupata ndio maana…