Trending Stories
View All
HIZI HAPA REKODI ZA MTIBWA SUGAR V YANGA
LEO Septemba 27, Mtibwa Sugar itawakaribisha Yanga Uwanja wa Jamhuri, Morogoro kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara. Rekodi zinaonyesha…
BOSI YANGA AZUNGUMZIA ISHU YA CHAMA WA SIMBA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kwa sasa hauwezi kuzungumzia ishu ya kuitaka saini ya nyota namba moja ndani ya…
KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA MTIBWA SUGAR, UWANJA WA JAMHURI
KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo Septemba 27 dhidi ya Mtibwa Sugar Uwanja wa Jamhuri, Morogoro
AZAM FC YARUDISHA USHINDI WAO KWA MASHABIKI
OFISA Habari wa Azam FC, Zakaria Thabit amesema kuwa ushindi ambao wameupata jana umetokana na juhudi za wachezaji kujituma ndani…
GAKUMBA:KAGERE ATAWAKERA KWELIKWELI
MENEJA wa Meddie Kagere, Patrick Gakumba, amesema kama Kocha wa Simba, Mbelgiji, Sven Vandenbroeck atampa nafasi mshambuliaji wake huyo…
RATIBA YA LEO LIGI KUU BARA HII HAPA
LEO Septemba 27 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kutimua vumbi kwenye viwanja tofauti namna hii:- Ruvu Shooting v Biashara United…
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili.
NYOTA HAWA WAWILI ‘WAMPASUA KICHWA’ KOCHA YANGA
IMEFAHAMIKA kuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Mserbia Zlatko Krmpotic bado hajachagua nahodha wa kikosi chake ambacho leo kitajitupa kwenye…
OBREY CHIRWA ATOA LA MOYONI BAADA YA KUITWA TIMU YA TAIFA
NYOTA wa kikosi cha Azam FC, Obrey Chirwa amesema kuwa ataendelea kujituma ili aendelee kuitwa kwenye timu ya Taifa…
VPL:SIMBA 1-0 GWAMBINA
Imeongezwa dakika moja Dakika ya 45 mchezaji wa Gwambina anapewa huduma ya kwanza Dakika ya 44 Luis anachezewa faulo…
AZAM FC YAENDELEZA UBABE UGENINI, YAJIPIGIA 1-0 TANZANIA PRISONS
AZAM FC inayonolewa na Kocha Mkuu Aristica Cioaba leo Septemba 26 imeibuka na ushindi wa bao 1-0 mbele ya Tanzania…
KIKOSI CHA GWAMBINA FC KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA SIMBA UWANJA WA MKAPA
KIKOSI cha Gwambina FC kitakachoanza leo Uwanja wa Mkapa dhidi ya Simba Septemba 26.
KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA GWAMBINA FC
KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo Septemba 26 Uwanja wa Mkapa dhidi ya Gwambina FC.Ndemla anaanza kikosi cha kwanza leo kwa…
POLISI TANZANIA YAINYOOSHA DODOMA JIJI MABAO 3-0
KLABU ya Polisi Tanzania inayonolewa na Kocha Mkuu, Malale Hamsini leo Septemba 26 imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 mbele…
KING KIBA AFAFANUA JUU YA NGOMA YAKE MPYA
MFALME wa muziki wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba maarufu kama Alikiba, amefunguka mambo mazito yaliyo nyuma ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa…
MWINYI ZAHERA: HATUWAOGOPI SIMBA
MTENDAJI Mkuu wa Klabu ya Gwambina ya Misungwi mkoani Mwanza, Mwinyi Zahera amesema katika mechi yao dhidi Simba chochote kinaweza kikatokea kwa kuwa Simba…