Home Uncategorized RATIBA YA LEO LIGI KUU BARA HII HAPA Uncategorized RATIBA YA LEO LIGI KUU BARA HII HAPA By admin - September 27, 2020 0 LEO Septemba 27 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kutimua vumbi kwenye viwanja tofauti namna hii:- Ruvu Shooting v Biashara United Uwanja wa Uhuru. Mtibwa Sugar v Yanga, Uwanja wa Jamhuri. Mwadui V Ihefu, Uwanja wa Mwadui Complex.