WAARABU WAPIGIWA HESABU KALI NA SIMBA KWA MKAPA
SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba, amesema kuwa wapinzani wao wote ndani ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa pamoja na Al Ahly wameandaliwa dozi...
SIMBA KURUDI BONGO KUWAVUTIA KASI WAARABU
BAADA ya kumaliza hesabu za kukusanya pointi sita mbele ya Biashara United, leo kikosi cha Simba kinatarajiwa kurejea Bongo kwa ajili ya maandalizi ya...
MSIMAMO WA LIGI KUU BARA UPO NAMNA HII
Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2020/21 upo namna hii
KOCHA BIASHARA UNITED: WACHEZAJI WANGU WALIKUWA HAWAJIDONDOSHI
FRANCIS Baraza, Kocha Mkuu wa Klabu ya Biashara United amesema kuwa licha ya kupoteza mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba, jana Uwanja...
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa nyuma Gazeti la Championi Ijumaa
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa
SUALA LA KUBEBA MATOKEO UWANJANI LISIPEWE NAFASI
MASHABIKI wengi kwa sasa ambao wanajitokeza ndani ya uwanja kushuhudia mpira wanabeba matokeo mfukoni.Jambo hili linafanya pale mambo yanapokuwa tofauti waanze kulalamika na kumtafuta...
NAMUNGO WACHEKELEA WAANGOLA KULETWA NCHINI
UONGOZI wa klabu ya soka ya Namungo umesema kuwa maamuzi ya kamati maalum ya Shirikisho la soka Afrika (CAF), kuamua michezo yote miwili ya...
AZAM KUWAVAA MBEYA CITY BILA SURE BOY LEO
KIKOSI cha klabu ya Azam leo kinatarajia kuikaribisha Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu utakaopigwa katika dimba la Azam Complex Chamazi jijini Dar...
LIGI KUU BARA: BIASHARA UNITED 0-1SIMBA
UWANJA wa Karume, MaraMchezo wa Ligi Kuu Bara, kipindi cha kwanzaBiashara United 0-1 SimbaDakika ya 35 Deogratius Judika anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea...