NAMUNGO YAPIGA HESABU KUFANYA VIZURI KIMATAIFA
KOCHA wa Namungo FC, Hemed Morroco amesema kuwa wachezaji wake wapo tayari kwa ajili ya mechi ya kimataifa dhidi ya 1 de Agosto ya...
KOCHA SIMBA AYAKUBALI MABAO YA AZAM FC,MABEKI WAKINGIWA KIFUA
DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa mabao ambayo walifungwa jana Uwanja wa Mkapa yote yalikuwa mazuri jambo ambalo lilimfanya mlinda mlango Aishi...
TAIFA STARS IJIPANGE UPYA, LIGI INAREJEA MIPANGO MUHIMU
TAYARI ratiba ya mechi za Ligi Kuu Bara imewekwa wazi na mzunguko wa 19 unatarajiwa kurejea ndani ya ardhi ya Bongo.Tayari zipo mechi za...
INGIZO JIPYA YANGA LATUMIA DAKIKA 10 UWANJANI BILA KUGUSA MPIRA
INGIZO jipya ndani ya kikosi cha Yanga,Fiston Abdoul Razack akiwa amepewa dili la miezi sita aliweza kuweka rekodi yake ndani ya kikosi hicho kwenye...
MCHEZO MZIMA NAMNA SIMBA ILIVYOBWANA MBAVU NA AZAM FC
SASA ni rasmi kuwa Simba itamaliza viporo vyake vyote huku ikiwaacha wapinzani wao Yanga kuwa nafasi ya kwanza kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara...
MOROCCO MABINGWA WA CHAN, STARS WASHUHUDIA WAKIWA KWENYE MAKOCHI
TIMU ya Taifa ya Morocco imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Chan ambao ulikuwa unashirikisha wachezaji wa ndani ya Bara la Afrika kwa ushindi wa mabao...
KICHAPO NDANI YA ANFIELD, KLOPP AMGEUKIA ALLISON
JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool amesema kuwa kipa wake Allisson alifanya makosa mawili ambayo yalisababisha timu hiyo ikalala kwa kuchapwa mabao 4-1 mbele...
WAKALI WA KUCHEKA NA NYAVU BONGO HAWA HAPA
WAKALI wa kucheka na nyavu ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2020/21:- Medie Kagere anacheza Simba ana jumla ya mabao.John Bocco, wa Simba ana...
TUISILA KISINDA AFUNGUKIA ISHU YAKE YA KUIBUKIA NDANI YA SIMBA
TUISILA Kisinda, nyota wa kikosi cha Yanga amesema kuwa hana mpango wa kucheza ndani ya Simba kwa kuwa maisha yake kwa sasa yanaendelea vizuri...