TP MAZEMBE YAIJAZA AZAM JEURI MBELE YA SIMBA

0
UWEZO ulioonyeshwa na kikosi cha klabu ya Azam kwenye mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki dhidi ya TP Mazembe, umelifanya benchi la ufundi la...

NYOTA MPYA YANGA FISTON ATAJA SABABU ZA KUTODUMU NDANI YA TIMU

0
MSHAMBULIAJI wa Klabu ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Cedric Kaze, Fiston Abdul Razack amesema kuwa huwa hadumu kwa muda ndani ya timu nyingi...

KMC:TULIWAPA TAHADHARI MAPEMA NAMUNGO

0
 CHRISTINA Mwagala,  Ofisa Habari wa Klabu ya KMC amesema kuwa walitoa tahadhari mapema kwa wapinzani wao Namungo kabla ya kukutana nao uwanjani kwenye mchezo...

UZI MPYA WA SIMBA KIMATAIFA WAITANGAZA TANZANIA SEKTA YA UTALII

0
 KLABU ya Simba imeingia makubaliano na Wizara ya Maliasili na Utalii ya kutumia neno VISIT TANZANIA  kwenye jezi ambazo zitatumika katika hatua ya makundi...

YANGA KUMLIPA TAMBWE MKWANJA WAKE WOTE

0
 MABINGWA wa kihistoria Tanzania, Yanga wamesema kuwa wapo tayari kumlipa mchezaji wao wa zamani Amiss Tambwe ambaye anawadai fedha za usajili pamoja na mshahara...

GOMES AKIRI LIGI KUU BARA NI NGUMU, HESABU ZAKE KWA AZAM

0
DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa mchezo wake wa jana Februari 4 dhidi ya Dodoma Jiji ulikuwa mgumu ila wamefanikiwa lengo lao...

MITAMBO YA MABAO NDANI YA AZAM FC YAIVUTIA KASI SIMBA

0
AZAM FC, inayonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina imeendelea kujiweka sawa kwa ajili ya mechi zake za Ligi Kuu Bara ikiwa ni pamoja na...

MABOSI YANGA WATAJA KILICHOBUMISHA DILI LA BWALYA KUSAJILIWA

0
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa ulikuwa kwenye mpango wa kuinasa saini ya kiungo chaguo la kwanza la Didier Gomes ndani ya kikosi cha...

LICHA YA KUPOTEZA, MOURINHO ASISITIZA ANAONA MOYO WA UPAMBANAJI

0
 LICHA ya kikosi cha Tottenham kupoteza mchezo wake wa Ligi Kuu England kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Chelsea, Jose Mourinho, Kocha Mkuu wa...

YANGA YAIPIGA DONGO KIMTINDO SIMBA, KISA TUZO NA SIMBA SUPER CUP

0
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kuna umuhimu wa wapinzani wao Simba kujipanga wakati mwingine ikiwa wataandaa mashindano kama ya Simba Super Cup.Januari 27 Simba...