MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

0
 MUONEKANO wa ukurasa wa nyuma Gazeti la Championi Ijumaa 

MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA UPO NAMNA HII

0
 MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa sasa upo namna hii baada ya KMC 3-0 Namungo na Dodoma Jiji 1-2 Simba mechi za viporo...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

0
 MUONEKANO wa Uukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa 

ALICHOSEMA SENZO KUHUSU SAKATA LA MORRSON KUJIUNGA SIMBA

0
MWAKA jana Yanga ilipeleka malalamiko yao CAS juu ya usajili wa mchezaji Bernad Morrison kwenda Simba haukufuata taratibu.Morrison aliingia kwenye mgogoro na waajiri wake...

KOCHA MKONGO ATOA NENO KUIHUSU SIMBA

0
KOCHA mkuu wa klabu ya AS Vita ya nchini Congo amefunguka kuwa mchezo wao wa kwanza wa  Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Simba...

SIMBA YASEPA NA POINTI TATU MBELE YA DODOMA JIJI,KITUO KINACHOFUATA AZAM FC

0
DIDIER Gomes,  Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wachezaji wake wamepambana kusaka pointi tatu muhimu mbele ya Dodoma Jiji, jambo ambalo wanahitaji pongezi. Ikiwa Uwanja...

YANGA : TUNAMUUZA SARPONG KWA BILIONI 1.2

0
IMEFICHUKA rasmi kuwa klabu ya Yanga ipo tayari kumuachia mshambuliaji wao Michael Sarpong endapo tu kama kuna timu itakuwa tayari kulipa fedha kiasi cha...

KIKOSI CHA DODOMA JIJI FC DHIDI YA SIMBA

0
 JESHI la wenyeji Dodoma Jiji FC leo dhidi ya Simba, Uwanja wa Jamhuri Dodoma langoni anaanza Kalambo 

MORRISON, KAPOMBE KUANZA LEO MBELE YA DODOMA JIJI,HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA

0
 KIKOSI cha Simba leo Februari 4 kitakachoanza dhidi ya Dodoma Jiji FC mchezo wa Ligi Kuu Bara, Uwanja wa Jamhuri Dodoma,  Morrison, Shomari Kapombe...

KIKOSI CHA KMC KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA NAMUNGO FC, UWANJA WA UHURU

0
 KIKOSI cha KMC kitakachoanza leo mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo FC,  Uwanja wa Uhuru