KUELEKEA MECHI NA YANGA….CAMARA MAPEMAAA KASHJIBEBA TUZO YAKE …DIARRA ‘AJIVUNJA’….
Nyota wa Simba, Moussa Camara ameibuka kipa bora wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2024-2025, baada ya kufikisha 'Clean Sheets' 19, ikiwa ni...
KUHUSU INONGA KUTUA YANGA…MABOSI WASHINDWE WAO TU….ISHU YAKE IMEKAA HIVI….
KATIKA maboresho ya kikosi cha Yanga kwa ajuili ya msimu ujao wa 2025-2026, Yanga imepanga kufanya usajili wa kuziba maeneo machache ikiwemo eneo la...
KUELEKEA DABI YA JUNI 25…..WALIOPOTEZA TIKETI ZA DABI YA MACHI 8 ‘KUNYWENI MAJI’….
KIONGOZI wa N-Card Catherine Chami amewapa uhakika mashabiki waliopoteza tiketi zao ambazo walizikata kwa ajili ya mechi ya Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga...
UTAMU WA CHAN 2024 HUU HAPA…UFUNGUZI TZ ,KWA MKAPA….ZANZIBAR NDANI…..
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeitangaza Tanzania kama nchi itakayoandaa mechi na tukio la ufunguzi wa fainali za CHAN 2024 zitakaofanyika kuanzia...
IBENGE NA AZAM FC…KAZI KUBWA IPO HAPA….JE SIMBA, YANGA ZITAENDELEA KUTAMBA….?
DONE Deal! Ndiyo, Azam FC kwa sasa inasubiriwa kutangaza tu juu ya kumnasa kocha mwenye heshima zake katika soka la Afrika, Florent Ibenge (63)...
MERIDIANBET FOUNDATION YAADHIMISHA MIAKA 5 YA KUSAIDIA MASOMO NA TEKNOLOJIA….
Meridianbet Foundation, taasisi ya kijamii chini ya Golden Matrix Group (NASDAQ: GMGI), imeadhimisha miaka mitano ya utekelezaji wa mpango wake wa kimataifa wa kutoa...
PAA NA SUPER HELI, SHINDA SAMSUNG A25 MPYA KABISA….
Kwa mara nyingine tena, Meridianbet, kampuni inayoongoza kwa michezo ya kubashiri nchini Tanzania, inawapa wateja wake sababu ya kutabasamu. Mwezi huu wa Juni, wamezindua...
SHINDA PESA HALISI NA 3 OAKS NDANI YA MERIDIANBET….
Jambo la kusisimua na la fursa limekufikia hivi sasa ndani ya Meridianbet ambapo unaweza kushinda pesa halisi huku ukijiburudisha na michezo yako unayoipenda ndani...
AZAM FC ‘WAKABA KOO’ ISHU YA FEI TOTO KUTUA SIMBA & YANGA….DAU JIPYA KUFURU…
NGOMA ni nzito kwa kiungo mshambuliaji Feisal Salum kusepa ndani ya Chamazi Complex kupata changamoto sehemu nyingine mpya kutokana na mabosi wa timu hiyo...
KUELEKEA TAREHE 25….DUBE HATIHATI YANGA….MABOSI TUMBO JOTO…
MASHABIKI wa soka kwa sasa wanahesabu siku kabla ya kushuhudia pambano la Dabi ya Kariakoo lililopangwa kupigwa Juni 25 baada ya kuahirishwa mara mbili...