YANGA YAUTAKA UBINGWA ULIOPO MIKONONI MWA SIMBA

0
 KIUNGO mzawa Feisal Salum, ameweka bayana kuwa wamekubaliana kupambana msimu wa 2020/21 kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara. Yanga ipo nafasi ya pili ikiwa na...

KESHO NDANI YA SPOTI XTRA JUMANNE, USIPANGE KUKOSA NAKALA YAKO

0
 USIPANGE kukosa nakala yako ya kesho Gazeti la SPOTI XTRA Jumanne ni jero tu litakuwa mtaani kwa mara ya kwanza

DUBE AFANYA YAKE ZIMBABWE

0
 PRINCE Dube, raia wa Zimbabwe leo amefunga bao la kusawazisha kwa timu yake ya Taifa wakati ikilazimisha sare ya kufungana mabao 2-2 dhidi ya...

SIMBA YATOSHANA NGUVU NA AFRICAN SPORTS

0
 KIKOSI cha Simba leo kimalazimisha sare ya bila kufungana na timu ya African Sports kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Azam Complex.Chini ya...

SIMBA YANASA FAILI LA WAPINZANI WAO KIMATAIFA, MKAKATI WAO UPO HIVI

0
 KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Sven Vandenbroeck, ameweka wazi kuwa kwenye hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika wanatakiwa kujiandaa kwa makini katika kuelekea mchezo huo...

MASHABIKI WAITWA UWANJA WA MKAPA KESHO KUISAPOTI STARS SAA 4 USIKU

0
 MJUMBE wa Kamati ya Ushindi wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Haji Manara amesema kuwa linapofika suala la kushabikia Stars muhimu kuweka...

VITA YA TATU BORA NDANI YA BONGO NI MOTO

0
 NGOMA inazidi kupigwa kwa sasa ndani ya Ligi Kuu Bara ambapo vita ya kuwania ubingwa imeanza kukolea kwa timu tatu za juu ambazo zinaonekana...

SERGIO RAMOS AWEKA REKODI YAKE TIMU YA TAIFA

0
 SERGIO Ramos, nyota ndani ya Klabu ya Real Madrid na timu ya Taifa ya Hispania ameandika rekodi yake ya kuweza kucheza jumla ya mechi...

WAWA KABLA YA MECHI LAZIMA AANZE NA MUNGU, KING KIBA NA MONDI AWATAJA

0
 PASCAL Wawa, beki wa Simba amesema kuwa kabla ya mchezo wowote ule kuanza yeye hupenda kusali pamoja na kuskiliza muziki mzuri.Raia huyo wa Ivory...

RAHEEM STERLING ANAWEZA KUCHEZA DHIDI YA TOTTENHAM

0
MSHAMBULIAJI wa Klabu ya Manchester City, Raheem Sterling ana matumaini ya kuanza kwenye mchezo wa Ligi Kuu England dhidi ya Tottenham baada ya kupata majeraha...