MPANGO WA SVEN NA KOSI LAKE DHIDI YA YANGA UPO HIVI
BAADA ya kutumia dakika 180 kuokota mabao mawili kwenye nyavu zao, mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba leo wanakaribishwa na watani zao wa...
DABI YA LEO, SIMBA PRESHA TUPU, YANGA WANAPETA TU
LEO saa 11:00 ni muda wa mechi kali yenye historia kwenye soka la Bongo ambapo mabingwa watetezi Simba watavaana na mabingwa wa kihistoria Yanga.Hii...
SURE BOY: WACHEZAJI TUPO TAYARI KWA USHINDANI
SALUM Abubakari, nyota wa kikosi cha Azam FC amesema kuwa wachezaji wapo tayari kwa ajili ya ushindani wa Ligi Kuu Bara jambo ambalo linawafanya...
SIMBA YAWEKA HADHARANI MAJEMBE YA KAZI YATAKAYOIMALIZA YANGA KWA MKAPA
YAMEBAKI masaa leo Novemba 7 kabla ya watani wa jadi Yanga na Simba kukutana Uwanja wa Mkapa kusaka pointi tatu, mabingwa watetezi Simba wameweka...
WILLIAN ANAAMINI ARSENAL ITATWAA UBINGWA WA LIGI KUU ENGLAND
WILLIAN da Silva, winga wa kikosi cha Arsenal amesema kuwa ana matumaini makubwa ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England akiwa chini ya Kocha...
TAIFA STARS KUWAVAA TUNISIA BILA MASHABIKI KWA SABABU YA CORONA
MCHEZO wa Novemba 14 Uwanja wa Mkapa kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania na Tunisia huenda ukachezwa bila ya uwepo wa mashabiki baada...
PACHA TANO MATATA AMBAZO YANGA WANATAMBIA KUIMALIZA SIMBA HIZI HAPA
YANGA kuelekea Dabi ya Kariakoo dhidi ya Simba itakayochezwa leo Novemba 7, Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, tayari ina kombinesheni tano za...
OLE GINNAR AFUNGUKIA HATMA YAKE UNITED
KOCHA wa Manchester United, Ole Gunnar Solksjaer, amesema makosa yaliyofanywa na mabeki wake yaliyosababisha wafungwe bao 2-1 na Instanbul Basaksehir katika ligi ya mabingwa Ulaya si ya...
KAZE KIBARUANI LEO, KUKOSA NYOTA WAKE NANE DHIDI YA SIMBA
CEDRIC Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga leo anakazi ya kwanza kukiongoza kikosi hicho kwenye mchezo wa Lig Kuu Baa dhidi ya Simba utakaochezwa Uwanja...