MALENGO YA AZAM FC YAPO KWENYE KUTWAA UBINGWA
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa hesabu kubwa kwa msimu wa 2020/21 ni kuona inatimiza malengo ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara na...
STARS YABEBA MATUMAINI YA KUFANYA VIZURI KESHO DHIDI YA TUNISIA
ETIENNE Ndayiragije, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa kutokana na maandalizi ambayo wameyafanya wana imani ya kufanya vizuri...
KAZE AINGIA KWENYE MTEGO MWINGINE NDANI YA YANGA
BAADA ya kumaliza kibarua chake cha kusaka pointi 12 kwenye mechi zake nne za mwanzo, Kocha Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze ameingia kwenye mtengo...
KIPA MWADUI ABEBESHWA ZIGO LA MABAO, AWEKA REKODI YA DAKIKA 900
MUSSA Mbissa, kipa namba moja wa Klabu ya Mwadui FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Khaleed Adam ameweka rekodi yake ya kuwa kipa namba moja...
ISHU YA NYOTA WAWILI KUTAKIWA NA TP MAZEMBE UONGOZI WA YANGA WACHEKELEA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa suala la wachezaji wake wawili wazawa kudaiwa kuwa wanawaniwa na Klabu ya TP Mazembe linawapa matumaini ya kuamini kwamba...
ISHU YA CHAMA KUIBUKIA YANGA YAPAMBA MOTO, SIMBA WAJIBU KIVINGINE
IMEFAHAMIKA kuwa kiungo mchezeshaji raia wa Zambia, Clatous Chama, amekataa mkataba wa miaka miwili Simba wenye dau la Sh milioni 150 huku watani wao wa jadi wakimtengea Sh...
MBWANA SAMATTA: SINA NAMNA, NITAIKOSA TUNISIA
NAHODHA wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Samatta, atakosekana katika mchezo wa kwanza wa kufuzu fainali za kombe la mataifa ya Africa (AFCON) dhidi ya Tunisia kufuatia majeraha...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Alhamisi, lipo mtaani jipatie nakala yako jero tu
MAMBO MATATU YA KUFANYA ISHU YA SENZO WA YANGA KUSHIKILIWA NA POLISI
ANAANDIKA Saleh Jembe KATIKA hili suala la Senzo (Mbatha) na Mbaga (Hashim) kushikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za upangaji matokeo (match fixing) ni...
TANZANIA U 20 YAAMBULIA KICHAPO CHA MABAO 2-1 DHIDI YA SUDAN
TIMU ya Taifa ya Tanzania, chini ya miaka 20 leo Novemba 11 imekubali kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya timu ya Taifa ya Sudan.Mchezo...