TFF YATAJA MAFANIKIO YAKE KWA MUDA WA MIAKA MINNE

0
 RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, amesema upatikanaji wa viwanja kwa ajili ya kukuza soka vilivyopo Kigamboni jijini Dar na mkoani...

KUMBE MESSI ALIGOMEA ISHU YAKE YA KUIBUKIA REAL MADRID

0
 LIONEL Messi amekuwa ni nembo ya Klabu ya Barcelona kwa muda mrefu tangu kuondoka kwa Ronaldinho mwaka 2008, lakini kumbe wapinzani wao wa jadi,...

MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA UPO NAMNA HII

0
 MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa sasa upo namna hii

SIMBA YAPIGA MATIZI LEO UWANJA WA SOKOINE, MBEYA

0
 KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck akisaidina na Kocha Msaidizi Seleman Matola baada ya kuwasili Mbeya leo Oktoba 19 kimefanya mazoezi...

YANGA YAIVUTIA KASI POLISI TANZANIA

0
 KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Cedric Kaze leo Oktoba 19 kimeendelea kujiweka sawa kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara...

MWINYI ZAHERA ASHUHUDIA TIMU YA GWAMBINA FC IKIGAWANA POINTI MOJA NA POLISI TANZANIA

0
 MWINYI Zahera, Mkurugenzi wa Benchi la Ufundi ndani ya Klabubya Gwambina FC, leo Oktoba 19 alikuwa ndani ya Uwanja wa Sheik Amri Abeid akishuhudia...

MTIBWA SUGAR YAIFUNGA BAO 1-0 NAMUNGO FC

0
 SALUM Kihimbwa nyota wa Mtibwa Sugar FC leo Oktoba 19 amefunga bao lake la kwanza ndani ya msimu wa 2020/21 wakati timu yake ikishinda...

IHEFU FC KUKIWASHA KESHO DHIDI YA AZAM FC

0
VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Azam FC kesho, Oktoba 20 wana kazi ya kupambana na Ihefu FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara...

SIMBA YAFIKIRIA MICHUANO YA KIMATAIFA

0
 KIUNGO wa Simba, Clatous Chama ana matumaini makubwa ya timu yao kufanya vizuri kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu.Michuano hiyo inatarajiwa kuanza Novemba...

LIGI YA MABINGWA AFRIKA NI BALAA TUPU

0
 LIGI ya Mabingwa Barani Afrika imeendelea mwishoni mwa wiki hii,  ikiwa ni hatua ya nusu fainali kwa miamba ya soka  Afrika ya Kaskazini Morocco...