BEKI SIMBA AWEKA REKODI YAKE, MUGALU KAMA KAWAIDA
BEKI wa Simba, Ibrahim Ame ambaye ni ingizo jipya kwa msimu wa 2020/21 akitokea Klabu ya Coastal Union jana Oktoba 17 ameandika rekodi yake...
TANZANIA KUANDAA MASHINDANO YA AFCON
BARAZA la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), limeipendekeza Tanzania kuandaa michuano ya kusaka tiketi ya kufuzu kushiriki Mashindano ya Afrika (Afcon)...
BALE KUKIWASHA LEO SPURS
TOTTENHAM wanatarajiwa kuwa uwanjani leo Oktoba 18 kwa kukipiga dhidi ya West Ham United, ni mchezo wa Premier League na kuna taarifa kuwa Jose...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Jumapili
UKUTA WA MABEKI WA YANGA WAWEKA REKODI NDANI YA LIGI
UKUTA wa Klabu ya Yanga unaoongozwa na nahodha Lamine Moro pamoja na Bakari Mwamnyeto umeweka rekodi Bongo kwa kuwa ni namba moja kwa timu...
POLISI TANZANIA:TUTAFUNGA MABAO MENGI KWA MIPIRA ILIYOKUFA
GEORGE Mketwa, Kocha Msaidizi wa timu ya Polisi Tanzania amesema kuwa mpango mkakati namba moja ndani ya timu hiyo ni kufunga mabao mengi kwa...
KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOKIPIGA NA MLANDENGE FC, AJIBU NDANI
KIKOSI cha Simba ambacho kinacheza na Mlandege FC ya Zanzibar mchezo wa kirafiki Uwanja wa Azam Complex, leo Oktoba 17 Ibrahim Ajibu na Bernard...
EVERTON YAIKOMALIA LIVERPOOL NA KUGAWANA POINTI MOJAMOJA KWENYE DABI
DABI ya leo Oktoba 17 ndani ya Ligi Kuu England ya Merseyside imekamilika kwa Everton kutoshana nguvu ya kufungana mabao 2-2 na kufanya wagawane...
MTAMBO WA MABAO NDANI YA YANGA HUU HAPA
YANGA inayonolewa na Kocha Mkuu, Cedric Kaze baada ya kusaini dili la miaka miwili, jana Oktoba 16 mtambo wa kutengeneza mabao Kwenye kikosi hicho...