BIASHARA UNITED YAIPIGA MKWARA MTIBWA SUGAR

0
 BAADA ya Biashara United ya mkoani Mara kupata sare ya kutofungana na timu ya Ruvu Shooting, Kocha Mkuu wa timu hiyo Francis Baraza amesema...

MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA

0
 HUU hapa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga ikiwa ni namba moja baada ya kucheza mechi tano za Ligi Kuu Bara,  Simba leo...

MFEREJI HUU NDIO CHANZO CHA KUPIGWA CHINI ZLATKO, UNAPASWA UZIBWE

0
 KUNA kauli kadhaa zimekuwa zikitolewa na watu mbalimbali hasa makocha wa kigeni waliobahatika kufundisha soka hapa nchini wakisema kwamba, Watanzania wengi wanajifanya makocha na...

WACHEZAJI WAMPA KIBURI KOCHA MKUU WA SIMBA SVEN

0
 KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo utakaopigwa Uwanja wa Jamhuri dhidi ya JKT Tanzania...

KOCHA COASTAL UNION: WACHEZAJI WANGU WANARUDIARUDIA MAKOSA

0
 JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Coastal Union amesema kuwa wachezaji wake wamekuwa wakifanya makosa ambayo yanajirudia jambo ambalo linamfanya akose raha kila mara pale...

RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO OKTOBA 4

0
 LEO Oktoba 4 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ikiwa ni mzunguko wa tano.Ratiba yake ipo namna hii:-Biashara United v Mtibwa Sugar, saa 8:00 mchana.JKT...

SAMATTA AANZA KUFANYA YAKE UTURUKI

0
UWANJA WA Sukru Saracoglu ni miongoni mwa ule wa mwanzo kabisa kutikiswa na nyota wa timu ya Taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta kwa kuwa...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI

0
 MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele gazeti la SPOTI XTRA Jumapili 

JKT TANZANIA V SIMBA LEO NI MECHI YA KISASI

0
LEO Oktoba 4, Simba ambao ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2020/21 wanakibarua cha kumenyana na JKT Tanzania mchezo utakaopigwa Uwanja...

BREAKING:YANGA YAMFUTA KAZI KOCHA MSERBIA ZLATKO

0
 UONGOZI  wa Klabu ya Yanga leo Oktoba 3,2020 umefikia makubaliano ya kumfuta kazi kocha wao mkuu, Zlatko Krmpotic raia wa Serbia aliyechukua mikoba ya...