MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatano
SIMBA WAANZA KUPIGA MATIZI LEO KUIWINDA JKT TANZANIA
SIMBA leo wameanza mazoezi kwa ajili ya kujiwinda na mchezo wao wa Ligi Kuu Bara utakaopigwa Oktoba 4 Uwanja wa Jamhuri Dodoma dhidi ya...
LAMINE MORO AONGEZA MKATABA YANGA
YANGA SC kupitia kwa Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM, Eng. Hersi Said, wamethibitisha kuwa Beki wao wa kimataifa Mghana Lamine Moro ameongeza mkataba wa kuichezea...
KMC:TUMERUDI, HASIRA ZOTE KWA POLISI TANZANIA
UONGOZI wa KMC umesema kuwa kupoteza kwao mchezo wao wa kwanza mbele ya Kagera Sugar kwa kufungwa bao 1-0 hakujawatoa kwenye ramani kwani ni...
OLE GUNNAR AMWAMBIA SANCHO KABLA DIRISHA LA USAJILI HALIJAFUNGWA ATAIBUKIA UNITED
MANCHESTER United inasemekana wana imani watamsajili Jadon Sancho kabla ya dirisha la usajili kufungwa.Meneja wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer amemwambia nyota wa Borussia...
RUVU SHOOTING YATUMA UJUMBE KWA DODOMA JIJI
UONGOZI wa Ruvu Shooting umesema kuwa utapambana kusaka pointi tatu mbele ya Dodoma Jiji kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu Bara wa raundi ya...
YANGA WAFIKIA PAZURI NA WAHISPANIA WA LA LIGA
KAMPUNI ya La Liga ya nchini Hispania inatarajiwa kukabidhi ripoti ya mwisho ya mapendekezo yao kwa uongozi wa Yanga uliokuwa chini ya Mwenyekiti Mkuu...
SIMBA YAANZA KUIPIGIA HESABU JKT TANZANIA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa leo Septemba 28 utaanza mazoezi kwa ajili ya kujiweka sawa kuelekea Kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya...
NAMUNGO FC YAIPIGIA HESABU MWADUI FC
UONGOZI wa Namungo FC umesema kuwa kwa sasa hesabu zao kubwa ni kwenye mchezo wao wa ligi dhidi ya Mwadui FC ambao utakuwa ni...
CHOZI LA SUAREZ KWA FC BARCELONA LIMEZALIWA HAPA
Na Saleh Ally MAMA mzazi wa Luis Suarez aitwaye Sandra alikuwa ni mfagizi katika moja ya kituo cha mabasi katika kitongoji cha Tres Cruzes...