NI MWENDO WA KUFUNGIA VIWANJA SASA VYAFIKA VITANO

0
BODI ya Ligi Kuu Tanzania Bara,(TPLB) iliweza kufungia baadhi ya viwanja kwa msimu wa 2020/21 na kupendekeza viwanja vingine vya kuchezea.Mpaka sasa taarifa ambazo...

LIGI KUU BARA KUENDELEA LEO, HIZI HAPA KUMENYANA MKWAKWANI

0
 LEO Ligi Kuu Bara inaendelea ambapo raundi ya nne inakamilika kwa mechi moja kuchezwa Uwanja wa Mkwakwani majira ya saa 10:00 jioni.Mchezo wa leo...

NYOTA KAGERA SUGAR APANIA MAKUBWA VPL

0
 YUSUPH Mhilu, mshambuliaji namba moja wa Kagera Sugar amesema kuwa wana imani kubwa ya kufanya vizuri ndani ya Ligi Kuu Bara licha ya ushindani...

YANGA:KUNA TIMU ITAPIGWA MABAO 10

0
 JUMA Mwambusi, Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kuwa kwa namna kikosi ambavyo kinatengenezwa kwa sasa kuna timu itapigwa mabao 10 ndani ya dakika 90.Yanga...

GWAMBINA FC YAWASHUSHA PRESHA MASHABIKI,DAKIKA 360 YAFUNGWA MABAO MATANO

0
 NOVATUS Fulgence, Kocha Mkuu wa Klabu ya Gwambina FC ya Mwanza amesema kuwa bado wana nafasi ya kufanya vizuri kwenye Ligi Kuu Bara licha...

BEKI YANGA AKUBALI MUZIKI WA BEKI YA SIMBA

0
 BEKI wa kati wa Yanga, Lamine Moro raia wa Ghana, ameshindwa kujizuia na kutamka waziwazi kuwa Simba msimu huu wana beki nzuri. Moro ambaye amejiunga...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU

0
 MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatatu 

KATWILA: TUTAYAFANYIA KAZI MAKOSA YETU

0
 ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar amesema kuwa makosa ambayo wameyafanya kwenye mchezo wao dhidi ya Yanga watayafanyia kazi ili kuweza kurejea kwenye...

BAYERN MUNICH WAPIGWA 4G LEO

0
 KLABU ya Bayern Munich leo Septemba 27 imenyooshwa kwa kuchapwa mabao 4-1 mbele ya Hoffenheim mchezo wa Bundesliga uliochezwa Uwanja wa Rhein-Neckar.Mabao ya Hoffenheim...

MWADUI FC WASHINDA MCHEZO WAO WA KWANZA LEO VPL 2020/21

0
 KIKOSI cha Mwadui FC kinachonolewa na Khalid Adam leo kimeibuka na ushindi kwa mara ya kwanza ndani ya Ligi Kuu Bara baada ya kucheza...