BUNDESLIGA SASA MUBASHARA NDANI YA AZAM TV
MSIMU wa 2020/21 wa Ligi Kuu ya Ujerumani maarufu kama Bundesliga itarushwa moja kwa moja ndani ya chaneli ya Azam TV.Leo Septemba 15 umefanyika uzinduzi...
MORRISON APEWA NDINGA MPYA NA BOSI SIMBA, ATUMA UJUMBE WA KIJEMBE KIMTINDO
BERNARD Morrison kiungo mshambuliaji ndani ya Klabu ya Simba ameonyesha furaha yake na kushukuru kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Simba, Mohamed...
SASA NI VITA YA KAGERA SUGAR V YANGA
BAADA ya Kagera Sugar kumalizana na Gwambina FC kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Gwambina Complex kibarua chao kinachofuata ni...
NYOTA MPYA WA RUVU SHOOTING, DACOSTA AANZA NA MAJANGA
NYOTA mpya ndani ya kikosi cha Ruvu Shooting yenye maskani yake Pwani, Adam Dacosta ameanza na majanga baada ya kuumia kidole.Dacosta aliibukia ndani ya...
SIMBA YATAJA MUDA ITAKAYOREJEA NAFASI YA KWANZA
KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amebainisha kuwa licha ya kwamba wamepata sare kwenye mechi yao na Mtibwa Sugar hesabu zake ni ndani ya...
BOSI WA SIMBA AFUNGUKIA MAISHA YAKE NDANI YA YANGA
SENZO Mbatha, mshauri mkuu ndani ya Klabu ya Yanga kuelekea kwenye mfumo wa mabadiliko amesema kuwa anafurahia maisha yake ya sasa ndani ya timu...
BALE AINGIA ANGA ZA MANCHESTER UNITED
MANCHESTER United ipo kwenye mpango wa kuinasa saini ya nyota wa Real Madrid, Gareth Bale ili ajiunge na kikosi hicho kinachonolewa na Ole Gunnar...
AZAM FC :TUNATAKA KUENDELEZA KUPATA USHINDI
BAADA ya ushindi katika michezo miwili mfululizo waliopata timu ya Azam FC, uongozi wa timu hiyo umetamba kuendeleza ushindi katika michezo inayofuata ya ligi...
MBEYA CITY BADO HAIJAPOTEZA MATUMAINI VPL
AMRI Said, Kocha Mkuu wa Mbeya City amesema kuwa wachezaji wake hawajapoteza matumaini ya kupata ushindi kwenye mechi zake zinazofuata licha ya kupoteza mechi...
HII HAPA RATIBA KAMILI YA MZUNGUKO WA TATU VPL
KWA sasa Ligi Kuu Tanzania Bara mzunguko wa pili umeshameguka msimu wa 2020/21.Mchezo wa mwisho ulichezwa jana ambapo ilikuwa ni kati ya Namungo FC ...