MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Alhamisi
SABABU ITAKAYOMCHOMOA CHAMA SIMBA HII HAPA
KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amependezwa na ufundi wa kiungo wake Clatous Chama huku akibainisha kuwa ni ngumu kwa kiungo huyo kubakia klabuni...
KESHO NDANI YA SPOTI XTRA ALHAMISI USIKOSE NAKALA YAKO
NDANI ya Gazeti la SPOTI XTRA Alhamisi kesho usikubali kukosa nakala yako kesho Septemba 24, Jero kama Jero
BIASHARA UNITED: TIMU IKIENDA KICHWAKICHWA KWA SIMBA ITAPIGWA ZAIDI YA 4G
FRANCIS Baraza, Kocha Mkuu wa Biashara United amesema kuwa kwa msimu wa 2020/21 ikiwa itatokea timu itaingia kichwakichwa kucheza na Klabu ya Simba itaokota...
MZUNGUKO WA TATU ULIKUWA NI MOTO CHINI, MABAO 13 YAKUSANYWA
Mzunguko wa tatu umekamilika kibabe.Mechi moja pekee ndo ilimaliza dk 90 bila nyavu kutikiswa ilikuwa ni kati ya Coastal Union v Dodoma FC, Uwanja...
CHIRWA AITWA TIMU YA TAIFA MARA YA KWANZA
OBREY Chirwa, mshambuliaji namba moja ndani ya kikosi cha timu ya Azam FC amesema kuwa mwaka 2020 ni mara yake ya Kwanza kuitwa timu...
FRAGA MAMBO MAGUMU SIMBA, KUIKOSA GWAMBINA FC
GERSON Fraga kiungo mkabaji ndani ya Klabu ya Simba atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa wiki tatu kutokana na majeraha ya mguu wa...
SUAREZ RUKSA KUSEPA BARCELONA, ATLETICO MADRID YATAJWA
LUIS Suarez, mshambuliaji wa Barcelona anatajwa kuingia kwenye anga za Juventus baada ya mabosi wa timu hiyo kukubali kumuacha aondoke ndani ya timu hiyo. Atletico...
KOCHA YANGA ATAJA TATIZO LA WACHEZAJI WAKE LILIPO
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mserbia, Zlatko Krmpotić amewapa majukumu mapya washambuliaji wake Michael Sarpong na Yacouba Sagne kwa kuhakikisha wanafunga bao katika kila mchezo...
AZAM FC KAMILI GADO KUMALIZANA NA TANZANIA PRISONS
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons utakaopigwa Septemba 26 Uwanja...