RUVU SHOOTING YATUMA UJUMBE KWA DODOMA JIJI

0
 UONGOZI wa Ruvu Shooting umesema kuwa utapambana kusaka pointi tatu mbele ya Dodoma Jiji kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu Bara wa raundi ya...

YANGA WAFIKIA PAZURI NA WAHISPANIA WA LA LIGA

0
 KAMPUNI ya La Liga ya nchini Hispania inatarajiwa kukabidhi ripoti ya mwisho ya mapendekezo yao kwa uongozi wa Yanga uliokuwa chini ya Mwenyekiti Mkuu...

SIMBA YAANZA KUIPIGIA HESABU JKT TANZANIA

0
 UONGOZI wa Simba umesema kuwa leo Septemba 28 utaanza mazoezi kwa ajili ya kujiweka sawa kuelekea Kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya...

NAMUNGO FC YAIPIGIA HESABU MWADUI FC

0
 UONGOZI wa Namungo FC umesema kuwa kwa sasa hesabu zao kubwa ni kwenye mchezo wao wa ligi dhidi ya Mwadui FC ambao utakuwa ni...

CHOZI LA SUAREZ KWA FC BARCELONA LIMEZALIWA HAPA

0
Na Saleh Ally  MAMA mzazi wa Luis Suarez aitwaye Sandra alikuwa ni mfagizi katika moja ya kituo cha mabasi katika kitongoji cha Tres Cruzes...

KLOPP ACHEKELEA KUITUNGUA ARSENAL MABAO 3-1

0
 JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool amesema kuwa timu hiyo ina jukumu la kuendelea kushinda kila mechi ndani ya Ligi Kuu England ili kuweza...

KUMBE, BOBAN ALIYEMTUNGUA MANULA WA SIMBA MAMBO YALIKUWA MAGUMU MBELE YA YANGA

0
 ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar aesema kuwa mchezaji wake Boban Zirintusa kwenye mchezo wao dhidi ya Yanga uliochezwa Septemba 27, Uwanja wa...

MWINYI ZAHERA: KWA MWENDO WA SIMBA, KIMATAIFA HAWAFIKI POPOTE

0
 MWINYI Zahera, Mkurugenzi wa Benchi la Ufundi ndani ya Klabu ya Gwambina FC amesema kuwa Simba hawatafika mbali kwenye michuano ya kimataifa ikiwa watacheza...

RATIBA YA MZUNGUKO WA TANO LIGI KUU TANZANIA BARA IPO HIVI

0
 BAADA ya mzunguko wa nne kukamilika kwa mechi tisa kuchezwa viwanja tofauti sasa ni mwendo wa kuikimbizia raundi ya tano.Hii hapa ratiba ya raundi...

YANGA: MPIRA SIO UADUI, MUHIMU KUENDELEZA UPENDO

0
 UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kwa sasa ni muhimu mashabiki wake wakaelewa kwamba mpira sio uadui bali ni mwendelezo wa upendo na mshikamano katika...