KATWILA: TUTAYAFANYIA KAZI MAKOSA YETU

0
 ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar amesema kuwa makosa ambayo wameyafanya kwenye mchezo wao dhidi ya Yanga watayafanyia kazi ili kuweza kurejea kwenye...

BAYERN MUNICH WAPIGWA 4G LEO

0
 KLABU ya Bayern Munich leo Septemba 27 imenyooshwa kwa kuchapwa mabao 4-1 mbele ya Hoffenheim mchezo wa Bundesliga uliochezwa Uwanja wa Rhein-Neckar.Mabao ya Hoffenheim...

MWADUI FC WASHINDA MCHEZO WAO WA KWANZA LEO VPL 2020/21

0
 KIKOSI cha Mwadui FC kinachonolewa na Khalid Adam leo kimeibuka na ushindi kwa mara ya kwanza ndani ya Ligi Kuu Bara baada ya kucheza...

MATOKEO YA MECHI ZA LEO, MABAO TANO YAKUSANYWA

0
 LEO Septemba 27 mechi tatu zimepigwa kwa timu sita kuwa uwanjani kusaka pointi tatu muhimu.Jumla yamefungwa mabao matatu kwenye mechi zote tatu ambapo ni...

VPL: MTIBWA SUGAR 0-0 YANGA

0
 Mtibwa Sugar 0-0 YangaUwanja wa Jamhuri,MorogoroUWANJA wa Jamhuri Morogoro kwa sasa ni mchezo kati ya Mtibwa Sugar na Yanga mchezo wa Ligi Kuu Bara...

MTIBWA V YANGA LEO JAMHURI KAZI IPO

0
 MABINGWA wa kihistoria katika Ligi Kuu Bara, Yanga, leo Jumapili wana kazi moja tu ya kuhakikisha wanaibuka na ushindi mbele ya Mtibwa Sugar, ikiwa...

TAMMY AWA SHUJAA CHELSEA IKIBANWA MBAVU

0
NYOTA wa Chelsea, Tammy Abraham aliokoa jahazi la Chelsea lisizame mbele ya West Brom kwenye sare ya kufungana mabao 3-3 mchezo wa Ligi Kuu...

AZAM FC YAWEKA REKODI YA KIBABE DAKIKA 360

0
 AZAM FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Aristica Cioaba raia wa Romania imeweka rekodi yake kwa msimu wa 2020/21 baada ya kucheza mechi nne ambazo...

KOCHA MANCHESTER UNITED HANA MPANGO WA KUSAJILI BEKI

0
 OLE Gunnar Solskjaer, Kocha Mkuu wa Manchester United amesema kuwa timu yake kwa sasa haina uhitaji mkubwa wa kupata beki kwa kuwa anaamini wachezaji...

HIZI HAPA REKODI ZA MTIBWA SUGAR V YANGA

0
 LEO Septemba 27, Mtibwa Sugar itawakaribisha Yanga Uwanja wa Jamhuri, Morogoro kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara. Rekodi zinaonyesha kuwa tangu msimu wa 2011...