KAGERA SUGAR YAGAWANA POINTI MOJAMOJA NA GWAMBINA

0
 KAGERA Sugar inayonolewa na Kocha Mkuu, Mecky Maxime leo Septemba 11 imelazimisha sare ya bila kufungana mbele ya Gwambina FC kwenye mchezo wa Ligi...

SIMBA KUFANYA MABADILIKO HAYA MAWILI

0
 KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amesema kuwa atafanya mabadiliko kidogo kwenye kikosi cha kesho kitakachovaana na Mtibwa Sugar, Uwanja wa Jamhuri ama aina...

HIKI HAPA KIKOSI CHA AZAM FC KITAKACHOANZA DHIDI YA COASTAL UNION

0
 Kikosi cha Azam FC leo dhidi ya Coastal Union,  Uwanja wa Azam Complex majira ya saa 1:00 usiku.

ISHU YA BILIONI 20 ZA MO NA KINGWANGALLA IMEFIKIA HAPA

0
 WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla, amesema hana tofauti wala chuki na Mwenyekiti wa Bodi ya Klabu ya Simba, Mohamed Dewji ‘Mo’, ...

YANGA: TUMEWEKA REKODI YA KIPEKEE, WAPIGAJI DAWA YAO IPO

0
 UONGOZI wa Yanga umesema kuwa umeweza kuweka rekodi ya kuzindua jezi mpya pamoja na duka la vifaa ndani ya makao makuu ya timu hiyo...

SHIBOUB AKUNJA MKWANJA WA MAANA KWA WAARABU

0
 SHARAF Shiboub kiungo wa zamani wa Simba ambaye ametwaa mataji matatu msimu wake wa kwanza wa 2020/21 atakipiga ndani ya Klabu ya CS Costantine...

EDEN HAZARD AWACHANGANYA REAL MADRID

0
REAL Madrid, wameongeza wasiwasi kuhusu uimara wa nyota wao Eden Hazard kutokana na kushindwa kuwa fiti kuitumikia timu yake ya Taifa ya Ubelgiji licha...

AZAM FC KAMILI GADO KUMALIZANA NA COASTAL UNION

0
 UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo Septemba 11 wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union...

UKIMFUATILIA MO DEWJI UPANDE HUU, UTAGUNDUA JAMBO TOFAUTI

0
Na Saleh Ally KUKOSOLEWA ni sehemu ya maisha ya mwanadamu ambaye anaishi akiwa amezungukwa na wanadamu ambao kawaida yao ni kuwa na mawazo tofauti. Wanadamu...