KAGERE AFUNGUKIA ISHU YAKE KUDAIWA KUMPIGA SVEN
MEDDIE Kagere, mshambuliaji namba moja wa Klabu ya Simba amesema amesikitishwa na taarifa zilizosambaa mtandaoni kuwa amempiga kocha wa timu hiyo, Sven Vandenbroeck. Septemba Mosi...
MANCHESTER UNITED WASITISHA MAZUNGUMZO YA KUIPATA SAINI YA NAHODHA WA MBWANA
MANCHESTER United inayonolewa na Kocha Mkuu, Ole Gunnar Solskjaer imesimamisha mazungumzo ya kumpata kiungo wa Aston Villa, Jack Grealish na kumgeukia Donny van de...
MSERBIA AANZA NA WAWILI YANGA,SVEN APIGA MKWARA, NDANI YA SPOTI XTRA ALHAMISI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Alhamisi
KOCHA ARSENAL AFUNGUKIA SAINI YA AUBAMEYANG
MIKEL Arteta, Kocha Mkuu wa Arsenal amesema kuwa mshambuliaji wake namba moja Pierre Emerick Aubameyang atasaini dili jipya hivi karibuni. Arteta ameongoza kikosi chake...
MUONEKANO WA KAMBI MPYA YA YANGA 2020/21
MUONEKANO wa kambi mpya ya Klabu ya Yanga iliyopo Kigamboni kwa msimu wa 2020/21
MASHINE MPYA 10 ZA DODOMA FC HIZI HAPA
LIGI Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Septemba 6 kwa timu 18 kuanza mbio za kulisaka taji la ligi lililo mikononi mwa Simba.Tayari...
KAGERA SUGAR INA MAJEMBE 8 YA KAZI, MOJA KUTOKA YANGA, HAWA HAPA
KAGERA Sugar inayonolewa na Kocha Mkuu, Mecky Maxime imeongeza wachezaji nane wapya wakati wa dirisha la usajili lililofunguliwa Agosti Mosi na kufungwa Agosti 31.Mchezo...
BEKI KISIKI WA YANGA HATIHATI KUIKOSA TANZANIA PRISONS
BEKI kisiki wa Yanga, Lamine Moro, huenda akaukosa mechi za mwanzo wa msimu kutokana na jeraha la goti alilolipata hivi karibuni kwenye mazoezi ya timu...
MASHINE MPYA YA YANGA REKODI ZAKE ZIPO NAMNA HII
YACOUBE Sogne, nyota mpya wa Yanga ambaye alitua nchini Tanzania Agosti 31 akitokea Burkina Faso na kupokelewa na viongozi wa Yanga takwimu zake zinaonyesha...
BWALYA APEWA MCHONGO SIMBA, YANGA WAMEANZA, KESHO NDANI YA SPOTI XTRA ALHAMISI
KESHO ndani ya SPOTI XTRA Alhamisi usipange kukosa nakala yako jero tu