AZIZ KI AMUAMSHA AMIS TAMBWE…MVP WA LIGI KUU?
REKODI ya mabao 21 aliyofunga Stephen Aziz Ki msimu 2023/24 imeonekana kumshtua mshambuliaji wa zamani wa Yanga Amis Tambwe, na kutuma ujumbe wake kwa...
YANGA YAPIGA HESABU KALI FA…MASHABIKI HUMU TU
MABINGWA watetezi wa Kombe la Shirikisho Yanga SC wameanza kupiga hesabu kali kuelekea mchezo wao wa fainali dhidi ya Azam FC iliyomaliza nafasi ya...
JONAS MKUDE ANOGESHA MAZOEZI YA YANGA Z’BAR
Mazoezi ya Yanga yameoga sana! ambapo Jonas Mkude, ni miongoni mwa nyota wa Yanga wanaofanya mazoezi kuelekea fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) dhidi...
AHMED ALLY:- UKWELI NI KWAMBA SIMBA YETU MSIMU HUU NI MBOVU……
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amebainisha maeneo ambayo timu yao ilikosea na kusababisha kushindwa kufanya vizuri kwenye michuano walioshiriki...
YANGA BABA LAO UBINGWA WA FA…SIMBA WAFUATA NYUMA
UNAWEZA kusema kwamba Klabu ya Yanga ni Baba lao kwenye michuano hii ya Shirikisho, ambapo imechukua ubingwa mara 7, ikufuatiwa na Simba mara 4....
BREAKING NEWS: SIMBA SC YAANZA NA MAGORI & NKWAMBI
Mnyama Simba SC ameanza kuonesha makucha yake baada ya kukaa kinyonge kwa misimu mitatu mtawalia bila ubingwa wa Ligi Kuu Bara, ambapo kwa miaka...
SIMBA SC KUSHUSHA WINGA… ANATOKA DR CONGO.. NI FUNDI HASWA
KLABU ya Simba wapo kwenye mazungumzo na mshambuliaji kutoka klabu ya AS Vita, Elie Mpanzu, ili kupata huduma yake.
Simba ipo kwenye mchakato wa kuboresha...
BAADA YA KUMALIZA NAFASI YA 3….MGUNDA AWAPA SIMBA ‘UKWELI MKAVU’ KUHUSU TIMU YAO…
Kaimu Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba, Juma Mgunda amewataka mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kukaa pamoja na kutafakari kuhusu hatma ya timu...
BAADA YA KUBEBA UBINGWA….PACOME AFICHUA KILICHOMKWAMISHA NDANI YA YANGA….
Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua, ameweka wazi kilichomuumiza na kumkwamisha msimu huu katika kupambana kufikia malengo aliyojiwekea.
Muivory Coast huyo aliyejizolea umaarufu kwa mashabiki...
BAADA YA BOCCO KUIPA ‘THANK YOU’ SIMBA….MASTAA BONGO WAFUNGUKA NA HILI JIPYA…
Baada ya kudumu misimu saba ndani ya Simba, nahodha wa timu hiyo, John Bocco amewaaga mashabiki na mastaa wenzake wa timu hiyo kwa kuweka...