AZAM FC KUMBE WAMEYEYUSHA POINTI 15 KISA WAAMUZI

0
UONGOZI wa Azam FC, umesema kuwa kinachowaponza Azam FC kushindwa kufikia mafanikio ya kusepa na pointi nyingi uwanjani ni maamuzi ndani ya uwanja.Ofisa Habari...

TFF YAWEKEZA NGUVU KUBWA KWA VIJANA, SASA KUFUNGUA SHULE ZA VIPAJI MAALUM

0
MKURUGENZI wa masuala ya Ufundi ndani ya Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF) Oscar Milambo amesema kuwa ni mpango mkubwa uliopo kwa sasa ni kuendeleza vipaji...

SIMBA YAKWEA PIPA KUIFUATA MBEYA

0
TIMU ya Simba leo imeanza safari kwa ndege kutoka Uwanja wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kuelekea Mbeya kwa ajili ya michezo miwili ya Ligi...

MTIBWA SUGAR YAGOMA KUSHUKA DARAJA

0
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa utapambana kubaki ndani ya Ligi Kuu Bara kwa kushinda mechi zake nane ambazo zimebaki kwa sasa.Mtibwa imecheza jumla...

KUMBE SINGIDA UNITED WALIFANYA MAZOEZI SIKU TATU PEKEE KABLA YA KUWAVAA JKT TANZANIA

0
UONGOZI wa Singida United umesema kuwa ulifanya mazoezi kwa muda wa siku tatu kabla ya kuvaana na JKT Tanzania.Singida United ilichapwa mabao 2-0 kwenye...

MGHANA ACHOTA FEDHA SIMBA, RAYON YAIPA TANO YANGA,NDANI YA CHAMPIONI JUMATATU

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatatu 

KOTEA KUTUA YANGA..!!??

0
KIUNGO aliyeng’ara na Simba, James Kotei amechemka kwenye klabu ya FC Slavia Mozyr ya Belarus na kuvunja nayo mkataba.Kotei amekuwa akihusishwa na Yanga ambapo...

MKUDE AELEZEA MAENDELEO YA AFYA YAKE..DAKTARI SIMBA AFUNGUKA PIA.!!

0
KIUNGO mkabaji wa Simba, Jonas Mkude amewaambia mashabiki wa timu hiyo kwamba, ameanza kuwa fiti wala wasiwe na presha.Mkude alieleza kuwa maendeleo yake ni...

KOCHA SIMBA ATAJA SABABU YA NDEMLA KUONYESHA MAUJUZI TAIFA

0
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kiungo wake Said Ndemla anazidi kuimarika kutokana na kufuata maelekezo awapo kwenye mazoezi.Ndemla hakuwa na nafasi...

YANGA YAGAWANA POINTI MOJAMOJA NA AZAM FC, MABAO MAWILI YA AZAM YAMEYEYUKA MAZIMA

0
YANGA imegawana pointi moja leo mbele ya Azam FC kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Taifa.Kasi ya Azam ilianza kipindi cha kwanza ambapo walifunga bao...