ULIMBOKA SASA BEGA KWA BEGA NA SALVATORY NDANI YA PAMBA SC
MCHEZAJI wa zamani wa Klabu ya Simba, Ulimboka Mwakingwe sasa ni Kocha Msaidizi wa Klabu ya Pamba SC ya Mwanza.Klabu hiyo ipo Ligi Daraja...
KMC KUKINUKISHA NA AZAM KESHO KAMA KAWAIDA, WAPEWA ONYO
SHIRIKISHO la mpira wa miguu Tanzania (TFF) limeruhusu mechi za kirafiki kuchezwa Ila kwa kibali kutoka TFF ili kuhakikisha wahusika wanafuata mwongozo wa Wizara...
UWANJA WA SIMBA WAPIGWA PINI NA TFF
SHIRIKISHO la Soka Tanzania, (TFF) limeupiga pini Uwanja wa Simba Mo Arena kwa matumizi ya mechi za kirafiki.Jana, Juni 7 Uwanja huo ulitumika kwa...
NYOTA SABA WA AZAM FC WAMPA WAKATI MGUMU CIOABA
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Mromania Aristica Cioaba amekiri kuwa anapata wakati mgumu wa kukiandaa kikosi kurejea kwenye michezo ya ligi kuu bila uwepo...
YANGA:TUNAITAKA SIMBA FA TUWAONYESHE KAZI KWELIKWELI
JUMA Makapu, beki wa Yanga kipenzi cha Kocha Mkuu, Luc Eymael amesema kuwa dua zao kubwa ni kushinda mchezo wao wa hatua ya robo...
KMC: SIO BONGO TU, HATA ULAYA TIMU HUWA ZINATETEREKA
JUMA Kaseja,nahodha wa Klabu ya KMC amesema kuwa walitetereka mwanzoni mwa mzunguko wa kwanza jambo lililowafanya watafute mbinu ya kurejea kwenye ubora wao.Kaseja amesema...
MBAO WATAJA MBINU YA KUBAKI KWENYE LIGI MSIMU UJAO
KOCHA mkuu wa Mbao FC, Abdulmutik Hajji amesema wamejipanga kuhakikisha wanashinda mechi zao zote zilizobaki ili kujinusuru kushuka daraja msimu ujao.Hajji amesema kuwa mbinu...
KOCHA WA YANGA KUTUA NA MABEGI YAKE KESHO
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa anatarajia kuwasili nchini Juni 10 ambayo ni Jumatano baada ya kutumiwa tiketi ya ndege na uongozi...
JUMA ABDUL AYEYUSHA LAKI NANE KWA MICHORO MWILINI
NAHODHA msaidizi wa kikosi cha Yanga, Juma Abdul Mnyamani amefunguka kuhusu michoro ya mwilini ‘Tatoo’ aliyo nayo kwa kusema kuwa michoro hiyo imemgharimu kiasi...