GWAMBINA FC YAWAOMBA WADHAMINI WAJITOKEZE KUIPA SAPOTI
UONGOZI wa Gwambina FC inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza umewaomba wadau kujitokeza kwa sasa kuipa sapoti timu hiyo ambayo inaamini mambo yakiwa sawa kwenye...
HAWA JAMAA KWA SARE NDO MPANGO KAZI WAO, ADOLF NDO KUBWA LAO
KWENYE Ligi Kuu Bara kabla haijasimamishwa kutokana na janga la Virusi vya Corona ushindani ulikuwa ni mkali mwanzo mwisho.Kuna baadhi ya timu ilikuwa ni...
MAJEMBE HAYA SITA YA KAZI YANAPIGIWA HESABU SIMBA
KIKOSI cha Simba kilicho chini ya Kocha Mkuu Sven Vandenbroeck kinapiga hesbu kubwa za kuboresha safu yake ya ulinzi ikipiga hesabu kupata saini za...
FAROUK SHIKALO AZUNGUMZIA HATMA YAKE NDANI YA YANGA
FAROUK Shikalo, mlinda mlango namba moja wa Klabu ya Yanga amesema kuwa hana mashaka iwapo atapigwa chini msimu ujao ndani ya kikosi hicho.Nyota huyo...
DAVID SILVA APIGA HESABU ZA KUSEPA NDANI YA MANCHESTER CITY
DAVID Silva nyota wa kikosi cha Manchester City ambao ni mabingwa watetezi wa Kombe la Ligi Kuu England hatakuepo ndani ya timu hiyo msimu...
NALDO MAMBO YAMEGOMA KWENDA HUKO AZAM FC
IDD Seleman, 'Naldo' nyota anayekipiga ndani ya Azam FC kwa sasa mambo kwake yamekuwa magumu kwa kushindwa kucheka na nyavu kama zamani.Msimu uliopita wa...
VITA YA KIUNGO ANAYEWINDWA NA YANGA NI DHIDI YA NYOTA WAWILI, DAU LAKE ACHA
NYOTA Ally Niyonzima anayekipiga ndani ya Rayon Sport ya Rwanda ambaye ni kiungo iwapo dili lake la kutua ndani ya Yanga litajibu basi atakuwa...
LUKAKU NI YEYE NA NYAVU TU HUKO INTER MILAN
ROMELO Lukaku amekuwa kwenye moto mkali wa kucheka na nyavu baada ya kuibukia Inter Milan kutoka ndani ya Manchester United inayoshiriki Ligi Kuu England.Ndani...
HAWA NSIO SINGIDA UNITED NA MWENDO WAO
SINGIDA United ya mkoani Singida ikiwa chini ya Kocha Mkuu Ramadhan Nswanzurimo ipo nafasi ya 20 ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2019/20.Ikiwa...
MKANDALA AFUNGUKIA DILI LAKE LA KUWINDWA NA AZAM FC PAMOJA NA YANGA
CLEOPHANCE Mkandala, kiungo anayetimiza wajibu wake ndani ya Tanzania Prisons iliyo chini ya Kocha Mkuu, Adolf Rishard amesema kuwa bado ana mkataba na mabosi...