YANGA WAMALIZANA NA STRAIKA ,MBELGIJI SIMBA AMKOMALIA CHAMA, KESHO NDANI YA CHAMPIONI JUMATANO
KESHO ndani ya Gazeti la Championi Jumatano, usipange kukosa nakala yako
TANZIA:NKURUNZIZA AFARIKI
ALIYEKUWA Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza amefariki dunia kwa kile kinachoelezwa kuwa ni shambulio la moyo leo Juni 9,2020.Serikali ya Burundi imethibitisha kifo cha...
RASMI, KOCHA YANGA KUIBUKA BONGO KESHO
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael anatarajiwa kutua kesho kwa ajili ya kuendelea kibarua chake majira ya saa 7:20 mchana.Eymael aliibukia Ubelgiji baada ya...
ULIMBOKA SASA BEGA KWA BEGA NA SALVATORY NDANI YA PAMBA SC
MCHEZAJI wa zamani wa Klabu ya Simba, Ulimboka Mwakingwe sasa ni Kocha Msaidizi wa Klabu ya Pamba SC ya Mwanza.Klabu hiyo ipo Ligi Daraja...
KMC KUKINUKISHA NA AZAM KESHO KAMA KAWAIDA, WAPEWA ONYO
SHIRIKISHO la mpira wa miguu Tanzania (TFF) limeruhusu mechi za kirafiki kuchezwa Ila kwa kibali kutoka TFF ili kuhakikisha wahusika wanafuata mwongozo wa Wizara...
UWANJA WA SIMBA WAPIGWA PINI NA TFF
SHIRIKISHO la Soka Tanzania, (TFF) limeupiga pini Uwanja wa Simba Mo Arena kwa matumizi ya mechi za kirafiki.Jana, Juni 7 Uwanja huo ulitumika kwa...
NYOTA SABA WA AZAM FC WAMPA WAKATI MGUMU CIOABA
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Mromania Aristica Cioaba amekiri kuwa anapata wakati mgumu wa kukiandaa kikosi kurejea kwenye michezo ya ligi kuu bila uwepo...
YANGA:TUNAITAKA SIMBA FA TUWAONYESHE KAZI KWELIKWELI
JUMA Makapu, beki wa Yanga kipenzi cha Kocha Mkuu, Luc Eymael amesema kuwa dua zao kubwa ni kushinda mchezo wao wa hatua ya robo...
KMC: SIO BONGO TU, HATA ULAYA TIMU HUWA ZINATETEREKA
JUMA Kaseja,nahodha wa Klabu ya KMC amesema kuwa walitetereka mwanzoni mwa mzunguko wa kwanza jambo lililowafanya watafute mbinu ya kurejea kwenye ubora wao.Kaseja amesema...