PSG WAINGIA ANGA ZA AUBAMEYANG
PARIS Saint-Germain (PSG) inaripotiwa kuwa imeanza hesabu za kuwania saini ya mshambuliaji wa Arsenal, Pierre Emerick Aubameyang.Aubameyang amekuwa kwenye ubora wake baada ya kujiunga...
KUMBE MAZOEZI YALIMPELEKA UFUKWENI KOCHA STARS
KOCHA Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Etienne Ndayiragije, amesema kuwa sababu ya kuonekana katika fukwe za Escape One hivi karibuni, akifuatilia mazoezi...
SIMBA YAANZA MCHAKATO WA KUWAREJESHA NYOTA WAO WALIOSEPA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa kwa sasa wameanza michakato ya kuona namna gani watawarejesha wachezaji wao ambao wapo nje ya nchi ili kurejea kuendelea...
RUKSA YA RAIS MAGUFULI MICHEZONI, HAINA MAANA WATAALAMU WAKAE KANDO
NA SALEH ALLYJUZI niliandika namna ambavyo wachezaji, viongozi na wadau wengine wa michezo na zaidi nikizungumzia mchezo wa soka wanavyoweza kuitumia vizuri nia ya...
SIMBA YATUMA UJUMBE HUU KWA YANGA
OFISA Habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara, ameushauri uongozi wa Klabu ya Yanga kujiandaa vizuri kama ni kweli wanataka kuingia katika mabadiliko ya...
YANGA KUREJEA MAZOEZINI RASMI JUNI MOSI
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umeweka wazi kuwa timu yao itaanza mazoezi Juni mosi baada ya Serikali kuruhusu shughuli za Michezo kuanza.Rais wa Jamhuri...
ALEX SONG AELEZA ALIVYOFUATA MKWANJA BARCELONA ANUNUE FERRARI
Kiungo Alex Song amekiri kuwa kikubwa ambacho kilimpeleka Barcelona akitokea Arsenal ni kwa kuwa aliahidiwa mshahara mkubwa na akaona ni nafasi kubwa ya yeye...
HUYU HAPA AMESHIKILIA HATMA YA MSUDAN WA SIMBA
MABOSI wa Simba wameamua kumpa majukumu mazito kocha wao, Mbelgiji, Sven Vandenbroeck ya kuamua kumbakisha kiungo Msudan, Sharaff Shiboub ambaye mkataba wake unamalizika hivi...
ARSENAL YAMPIGIA HESABU BEKI WA DORTMUND
BEKI wa Klabu ya Borussia Dortmund, Manuel Akanji inaripotiwa kuwa ameingia kwenye anga za Klabu ya Arsenal ambao wanahitaji kuipata saini yake.Licha ya Janga...