KIUNGO WA AZAM FC CABAYE AUAGA UKAPERA
KIUNGO wa timu ya Azam FC, Abdallah Masoud, 'Cabaye' ameuaga ukapela kwa kuvuta jiko lake rasmi jana usiku.Kiungo huyo alifunga ndo na Bi. Fatma...
LIGI KUU YA ZANZIBAR KUPIGWA KWENYE KITUO KIMOJA NA HAKUNA MASHABIKI
KATIBU Mkuu Wizara ya Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hassan Omar Hassan King, amesema Ligi kuu Zanzibar, itachezwa katika kituo kimoja cha Unguja ili...
HUYU HAPA AMEONGEZEKA KILO 10 YANGA, KAZI ANAYO
INAELEZWA kuwa miongoni mwa wachezaji watatu ambao wameongezeka uzito ndani ya Klabu ya Yanga ni mshambuliaji wao namba moja David Molinga.Habari zinaeleza kuwa baada...
JADON SANCHO NA AKANJI WAPIGWA FAINI KISA KUTOVAA BARAKOA
JADON Sancho na mchezaji mwenzake Manuel Akanji wanaokipiga ndani ya Klabu ya Borussia Dortumund inayoshiriki Bundesliga wamepewa adhabu na chama cha Soka la Ujerumani...
WASOMAJI WA CHAMPIONI NA SPOTIXTRA WACHANGAMKIA SHINDANO LA BABA LAO ILI KUSEPA NA NDINGA
WASOMAJI wa magazeti ya bora ya michezo zilizofanyiwa uchunguzi wa kina Championi na Spoti Xtra, maeneo ya Mbagala jijini Dar, wamezidi kuchangamkia shindano kubwa...
KOCHA AFUNGUKA KUHUSU NAFASI YA AJIBU SIMBA
KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amesema kuwa hana tatizo na kiungo wake mshambuliaji Ibrahim Ajibu ana imani atafanya naye kazi kwa ukaribu.Hivi karibuni,...
SIMBA YASHUSHA BOMU, YANGA KUMEKUCHA, KESHO NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI
KESHO ndani ya Championi Jumamosi, usikubali kukosa nakala yako
WATATU WAONGEZEKA UZITO YANGA
CHARLES Mkwassa, Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kuwa wachezaji wote wameanza kurejea kwenye ubora wao huku wale ambao wameongezeka uzito wakiandaliwa program maalamu.Akizungumza na...