MOUSA WAGUE BEKI WA SENEGAL ANAYEPAMBANA NA CORONA KWA VITENDO
BEKI wa kimataifa Moussa Wague mali ya FC Barcelona ambaye anakipiga kwa Mkopo Nice, ametoa tani 12 ya vyakula kusaidia jamii yao katika eneo...
REAL MADRID BADO WANAMTAKA NEYMAR JR
RAIS wa Klabu ya Real Madrid, Florentino Perez ana ndoto ya kupata saini ya mshambuliaji wa PSG, Neymar Jr.Neymar Jr kwa muda mrefu amekuwa...
BEKI HUYU WA NKANA ANAYETAJWA KUTUA YANGA AWAPIGA MKWARA SIMBA
MUSA Mohammed, raia wa Kenya anayekipiga ndani ya Klabu ya Nkana FC amekiri kufanya mazungumzo na viongozi wa Yanga kwa ajili ya kujiunga na...
MADDISON AGOMEA DILI LA KUIBUKIA MANCHESTER UNITED
JAMES Maddison kiungo wa Leicester City mwenye miaka 23, amemwambia shabiki mmoja kuwa anapenda kubaki hapo licha ya kuwa imekuwa ikielezwa anawindwa na Manchester...
BEKI HUYU WA SIMBA ATAJWA KUWA KIKWAZO KWA WATUPIAJI
DARUESH Saliboko, mshambuliaji wa Lipuli amesema kuwa Pascal Wawa ni miongoni mwa mabeki wagumu kupitika kutokana na nguvu, akili pamoja na mbinu zake.Wawa anakipiga...
RASTA HUYU MBUKINAFASO YUPO KWENYE RADA ZA SIMBA
SOGNE Yacouba, mshambuliaji anayekipiga ndani ya Asante Kotoko anatajwa kuingia anga za Simba na Azam.Yacouba mwenye miaka 28 inaelezwa kuwa mkataba wake unameguka msimu...
POGBA AINGIA ANGA ZA PSG, WAMUUNGANISHA NA DI MARIA
KLABU ya Paris St Germain,(PSG) inaelezwa kuwa imetuma ofa kwa Manchester United ili kupata saini ya kiungo mshambuliaji Paul Pogba.Pogba mwenye miaka 27 amekuwa...
UJUMBE WA RUVU SHOOTING KUHUSU CORONA
EDWARD Cristofa mshambuliaji wa Ruvu Shooting amesema kuwa kikubwa ni kila mmoja kuamini katika ndoto zake na kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona.Kwa...
BEKI COASTAL UNION AWAPA MASHARTI SIMBA NA YANGA ILI AMWAGE WINO
BEKI chipukizi anayekipiga ndani ya Klabu ya Coastal Union Bakari Mwamnyeto amesema kuwa anachotazama kabla ya kumwaga saini ndani ya timu ni maslahi pamoja...
KUNA WINGA MKONGO AMEZUNGUMZA NA YANGA,NDANI YA SPOTIXTRA ALHAMISI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Alhamisi nafasi ya kushinda ndinga mpya ni yako