KINACHOMSOTESHA BENCHI KABWILI HIKI HAPA
RAMADHAN Kabwili, mlinda mlango namba tatu wa Yanga amesema kuwa kinachomkosesha namba ndani ya kikosi hicho ni ushindani wa namba pamoja na chaguo la...
KIUNGO MKANDALA AZICHONGANISHA AZAM NA NAMUNGO
AZAM FC na Klabu ya Namungo zipo kwenye hesabu za kuinasa saini ya kiungo Cleophance Mkandala anayekipiga ndani ya Tanzania Prisons.Kiungo huyo amekuwa kwenye...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Jumapili
MAJEMBE HAYA YA KAZI MAWILI KUMALIZANA NA SIMBA
MWEKEZAJI wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’ ameonekana kupania kuwabakisha mastaa wake wote muhimu wanaomaliza mikataba yao, na sasa ni zamu ya kiungo mkabaji Mzamiru...
SABABU ZA OBREY CHIRWA KUPIGWA PINI AZAM FC HIZI HAPA
OBREY Chirwa, mshambuliaji wa Azam FC ameongeza kandarasi ya mwaka kuendelea kuitumikia Azam FC huku ikitajwa kuwa sababu kubwa ni kuthamini mchango wa nyota...
NAMNA KOCHA WA SIMBA NA GLOBAL GROUP WALIVYOENDELEA KUTOA MISAADA KWA WAHITAJI, LEO ILIKUWA...
KAMPUNI ya Global Publishers leo imefanikiwa kutoa msaada wa vitu mbalimbali kwa kituo cha kulelea watoto yatima cha Masjid-Ngamia kilichopo Kangaye,Wilayani Ilemela jijini mwanza.katika...
UNAAMBIWA KELVIN YONDANI ANATISHA BALAA,KESHO NDANI YA SPOTIXTRA JUMAPILI
Kesho ndani ya Gazeti la SPOTIXTRA Jumapili usipange kukosa nakala yako Jero tu
DIAMOND KUCHANGIA KODI YA PANGO KAYA 500 NCHINI
MWANAMUZIKI Nasibu Abdul, 'Diamond Platinumz' amesema kuwa atachangia ‘kodi ya pango’ kwa kaya 500 nchini kwa ajili ya kupunguza makali ya kiuchumi wakati huu ambapo...
TANZIA: KOCHA BONGO AFARIKI
Klabu ya soka ya Afc Arusha imetangaza kifo cha Kocha Msaidizi wa klabu hiyo Luke Juma kilichotokea hapo Jana.Habari iliyotolewa leo kwa vyombo vya...