NCHIMBI NYOTA WA YANGA ASEPA DAR MAZIMA NA KUIBUKIA KIJIJINI KUENDELEA NA MAISHA
DITRAM Nchimbi, mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa kutokana na kuchukua tahadhari ya Virusi vya Corona ameamua kusepa ndani ya Dar es Salaam na kuibukia...
ALIYEKUWA KOCHA WA SIMBA, JAKSON MAYANJA AWAPA MAJUKUMU WACHEZAJI WAKE
JAKSON Mayanja, aliyekuwa Kocha Mkuu wa KMC, Kagera Sugar, Coastal Union na Simba amesema kuwa kutokaana na kusambaa kwa Virusi vya Corona amewataka wachezaji...
WACHEZAJI YANGA WAPIGWA STOP KULA CHIPSI YAI
DAKTARI wa Yanga, Sheikh Mngazija, amewapangia wachezaji hao vyakula maalumu na kuwapiga stop wachezaji hao kula vyakula visivyoeleweka.Agizo hilo limetolewa na daktari huyo kutokana...
WACHEZAJI MSIBWETEKE, TIMU ZITUMIE MAPUMZIKO HAYA KUYAFANYIA KAZI MAKOSA
CORONA kwa sasa imekuwa ni janga la dunia kiujumla kutokana na kusababisha athari kubwa kwa jamii ambayo ndani yake kuna familia pia ya wanamichezo...
MTUPIAJI WA SIMBA KUBAKI RWANDA KWA MUDA WA SIKU 30
MEDDIE Kagere mshambuliaji wa Simba atachelewa kurejea nchini kufuatia Shirika la Ndege la RwandAir kufuta safari zake zote kwa muda wa siku 30.Hali hiyo...
BEKI TEGEMEO WA YANGA ATAKA KUTIMKA JANGWANI
BEKI wa kati wa Yanga, Said Makapu, amefunguka kuwa amepanga kuondoka kwenye timu hiyo iwapo atapata nafasi ya kwenda kucheza soka la kulipwa kutokana...
TSHISHIMBI: BADO SIJAMALIZANA NA YANGA,TUKISHINDWANA NASEPA
PAPY Tshishimbi, kiungo wa Yanga amesema kuwa yupo kwenye mazungumzo na mabosi wake Yanga ili kumalizana nao kuhusu ishu yake ya mkataba.Tshishimbi kwa sasa...
WACHEZAJI SINGIDA UNITED KUSEPA MAZIMA
IMEELEZWA kuwa baadhi ya wachezaji wa Singida United wamepania kutimka jumlajumla ndani ya kikosi hicho baada ya siku 30 kukamilika.Ligi Kuu Bara kwa sasa...