MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA ALHAMISI, NDINGA MPYA KABISA JISHINDIE

0
MUONEKANO wa UKURASA wa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Alhamisi, lipo mtaani kwa jero tu na nafasi ya kushinda ndinga mpya ipo mikononi mwako, Jipatie...

WACHEZAJI KILE MLICHOELEZWA MKIFANYIE KAZI MKIANZA BATA KWA SASA ITAWAUMBUA, TAHADHARI MUHIMU

0
LIGI Kuu Bara, Ligi Daraja la Kwanza, Ligi Daraja la Pili, Ligi ya Wanawake pamoja na masuala yote yanayohusu michezo yamesimamishwa kwa muda wa...

SIMBA WAANZA, KAZI, NYOTA HAWA WATATU KUMALIZANA NAO FASTA

0
NYOTA wa Simba, Sharraf Eldin Shiboub, Mzamiru Yassin ambao ni viungo na beki wa kati Pascal Serge Wawa wameitwa mezani ili kumalizana na Simba.Nyota...

ISHU YA MFUMANIA NYAVU WA NAMUNGO KUTUA YANGA IPO NAMNA HII

0
 AHMAD Kassim ‘Prezdaa’, Meneja wa Mshambuliaji wa Namungo, Reliants Lusajo amesema kuwa wapo tayari kufanya kazi na Yanga kama watamhitaji mchezaji wake.Lusajo ambaye ni...

MABOSI YANGA WAWASHUSHA PRESHA MASHABIKI WAO KUHUSU KIUNGO WAO ALIYEWASUMBUA SIMBA

0
  IMEELEZWA kuwa mkataba wa kiungo wa timu ya Yanga, Feisal Salum bado ni mrefu jambo linalowapa wakati mgumu timu zinazoiwinda saini yake kuipata saini...

KISA CORONA, BEKI SIMBA AJIFUNGIA NDANI AKICHEZA GEMU

0
 PASCAL Wawa, beki wa Simba amesema kuwa kwa sasa yupo salama na anaendelea kufanya mazoezi binafsi ili kulinda kipaji chake huku akitumia muda mwingi kucheza...

DROO YA KWANZA JISHINDIE GARI YAFANYIKA LEO, WATATU WASEPA NA ZAWADI ZAO JUMLAJUMLA

0
DROO ya Kwanza ya Shindano la Jishindie Gari inayoendeshwa na Kampuni ya Global Group kupitia magazeti yake ya michezo ya Championi na Spoti Xtra...