YANGA WATANGAZA KUFANYA MAANDAMANO, SIMBA YATAJWA – VIDEO
Walichokisema mashabiki wa klabu ya Yanga kutokana na mwenendo wa mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara huku wakiwataja watani zao wa jadi Simba.
KOCHA YANGA ADAI KULIKUWA NA HARUFU ISIYOFAA VYUMBANI
Kocha wa Klabu ya Yanga, Luc Eymael, amesema kuwa kulikuwa na harufu kali na isiyoeleweka katika vyumba vyao vya kubadilishia nguo juzi Jumatano, Februari...
MBELGIJI SIMBA ATOA SABABU ZA TIMU YAKE KUBORONGA KIWANGO
MASHABIKI wa Simba wameonyesha hasira huku wakidai hawaelewi kinachoendelea kwenye timu yao haswa kwenye kiwango na aina ya matokeo.Lakini kocha mkuu wa timu hiyo,...
MAAMUZI MAGUMU KUFANYIKA NDANI YA SIMBA, MBADALA WA SVEN ATAJWA
Baada ya kikiso cha Simba kuonesha kiwango kilicho butu katika mechi za hivi karivuni, inaelezwa kuwa mabosi wa Simba wapo kwenye mchakato wa kusaka...
KUMEKUCHA, MFAUME ATAKA AZICHAPE NA MWAKINYO
Bondia Mfaume Mfaume amesema anataka kupambana na Bondia kutoka mjini Tanga, Hassan Mwakinyo muda wowote akitaka na kwa gharama yoyote anayotaka wakikubaliana.Mfaume amedai pambano...
MTAALAMU WA SOKA LA KISASA YANGA ASEPA ZAKE KWAO, KILICHOFANYIKA CHATAJWA
NGULI na mtaalam wa mfumo wa soka la kisasa, Carraca Antonio Domingoz Pinto (pichani), amefikia muafaka na Yanga na amerejea kwao kuweka mambo sawa...
LIONEL MESSI ATAJWA KUTUA MANCHESTER CITY
LIONEL Messi, mshambuliaji na nahodha wa Klabu ya Barcelona imeelezwa kuwa yupo kwenye hesabu za kutua ndani ya Klabu ya Manchester City inayoshiriki Ligi...
TASWA FC KUWAVAA STANBIC BANK, NGOMA KUPIGWA JUMAMOSI…
NA MWANDISHI WETUTIMU ya soka ya waandishi wa habari, Taswa FC, inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya Benki ya Stanbic Jumamosi hii...
KAGERE APELEKA MAUMIVU KWA MWAMUZI
KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imepitia mwenendo wa matukio ya ligi na kufanya maamuzi mbalimbali...