MORRISON APIGWA ‘STOP’ YANGA, MBELGIJI AWAKA SABABU, ZATAJWA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa anashangazwa na mtindo wa nyota wake Bernad Morisson kuendelea mtindo wake wa kucheza na mpira 'Shibobo'...
BALAA LA YIKPE LAMUIBUA MBELGIJI WA YANGA
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa nyota wake, Yikpe Gnamien anaingia kwenye mfumo taratibu ni suala la muda kurejea kwenye ubora.Kwenye ushindi...
KIFO CHA KOBE BRYANT CHAACHA SIMANZI
KOBE Bryant, aliyekuwa mchezaji nyota wa mpira wa kikapu ambaye alikuwa akiwakilisha vizazi vingi vya mchezo huo amefariki kwa ajali ya helkopta iliyotokea jana,...
MUONEKANO WA GAZETI LA CHAMPIONI KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMATATU
Muonekano wa gazeti la Championi katika ukurasa wa mbele leo Jumatatu.
RASHID MATUMLA KUHAMISHA MAKAZI
BONDIA wa zamani hapa nchini Rashid Matumla ‘Snake Boy ‘ameweka wazi kuwa anatamani kuhamia Mkoa wa Manyara ili kuweza kuwanoa vizuri vijana wa mkoa...
AZAM FC KUINGIA KWA MTINDO HUU UWANJANI
UONGOZI wa azam FC umesema kuwa leo utaingia kwa tahadhari kubwa kumenyana na Friend Rangers kwenye mchezo wao wa Kombe la Shirikisho.Azam FC itashuka...
KOCHA YANGA ACHUKIZWA NA MORRISON, AMCHANA YONDANI – VIDEO
Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael, amefunguka kuhusiana na mbwembwe alizozifanya mchezaji wake, Bernard Morrison wakati timu yake ilipocheza dhidi ya Tanzania Prisons.
MSALA WAIBUKA NINJA NA TIMU YAKE MAREKANI
Inaelezwa kuwa beki aliyewahi kuichezea Yanga, Abdallah Shaibu 'Ninja' ameondoka kunako klabu yake ya LA Galaxy II ya Marekeni.Taarifa zinasema kuwa wakala wake Alex...
KISA NCHIMBI, SIMU YAPIGWA MISRI
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbelgiji, Luc Eymael amesema amechukizwa na kitendo cha mshambuliaji wa timu hiyo, Ditram Nchimbi kwenda Misri kufanya majaribio huku akifanya...
KISA SIMBA, GSM AFANYA KUFURU NYINGINE YANGA
Inaelezwa uongozi wa Yanga chini ya Mwenyekiti wa timu hiyo, Dk Mshindo Msolla, unatarajia kukutana na kiungo wake mshambuliaji, Mghana, Bernard Morrison kujadiliana ishu...