BWALYA ALIYEKUWA ANAWINDWA NA MNYAMA ASAINI EL GOUNA YA MISRI
NYOTA wa Nkana FC ya Zambia, Walter Bwalya amejiunga na timu ya El Gouna FC ya nchini Misri.Bwalya alikuwa anatajwa kuwindwa na Simba ili...
KAZI KUBWA YA MBELGIJI WA SIMBA IPO HAPA
KOCHA wa Simba, Patrick Aussems amesema kuwa kwa sasa kikosi chake kina kazi kubwa ya kufanya kutimiza malengo yake kitaifa na kimataifa.Simba kwa sasa...
NYOTA STARS APELEKWA MUHIMBILI
MUDATHIR Yahaya nyota wa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars' amepelekwa hospitali ya Muhimbili kwa ajili ya uchunguzi zaidi.Jana Yahaya alikuwa...
SIMBA DAY SASA NI AGOSTI 6, KUCHEZA NA MABINGWA WA ZAMBIA
MABINGWA mara sita wa Ligi Kuu ya Zambia na washindi wa Kombe la Washindi Afrika mwaka 1991 Klabu ya Super Dynoms FC itamenyana na...
YANGA YAENDELEA KUSHINDA MECHI ZAKE ZA KIRAFIKI, YATANDIKA MTU 7-0
Yanga imeendelea kushinda mfululizo mechi zake za kurafiki kwa kuitwanga Moro Athletic Academy kwa mabao 7-0.Yanga ipo kambini Morogoro kujiandaa na msimu mpya wa...
BOCCO ALIAMSHA AFRIKA KUSINI, MBRAZILI NAYE AANZA KAZI SIMBA IKIMPIGA MTU 4-0
JOHN Bocco, nahodha wa Simba amedhihirisha makali yake leo ambapo amefunga mabao 2 kwenye ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Orbet TVET.Mchezo wa leo...
MENEJA WA JUVENTUS AITAKA SAINI YA BEKI WA SPURS
Maurizio Sarri meneja wa Juventus ameutaka uongozi ufanye jitihada za kuipata saini ya beki wa Totthenham Danny Rose.Bosi huyo mpya wa Juventus ambaye ametokea...
MGOGORO WA ZIDANE NA BALE KUSHUSHA THAMANI YA MCHEZAJI
MGOGORO unaoendelea kati ya Meneja wa Real Madrid Zinedine Zidane na mchezaji wake Gareth Bale umeelezwa kuwa unaidumisha thamani ya nyota huyo.Zidane hivi karibuni...
WAARABU WA MISRI WAPIDUA MEZA KIBABE MBELE YA SIMBA KWA NYOTA HUYU
KLABU ya Al Ahly ambao ni waarabu wa Misri, imepindua meza kibabe mbele ya Simba baada ya kuweka dau la dola milioni moja zaidi...
WATAU WAPIGWA STOP YANGA MAZIMA
INAELEZWA kuwa uongozi wa Yanga umeamua kuwasimamisha nyota watatu wa kikosi cha kwanza kwa kushindwa kuripoti kambini. Andrew Vincent 'Dante', Juma Abdul na Kelvin Yondani...