YANGA MPYA YANGA ATAJA SIKU YA KUTUA BONGO
FAROUK Shikalo mlinda mlango wa Yanga amesema kuwa kwa sasa hana taabu yoyote kujiunga na mabosi hao anachosubiri ni simu tu atie timu Bongo...
UNITED WANAJIPIGIA TU, INTER MILAN LEO WAKIONA CHA MOTO
MANCHESTER United leo imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Inter Milan mchezo wa kirafiki uliochezwa uwanja wa Taifa wa Singapore.United imecheza mchezo...
BREAKING: MECHI NNE KALI ZA KIRAFIKI ZA SIMBA AFRIKA KUSINI
KWA sasa Simba ipo Afrika Kusini kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao.Hii hapa ratiba ya mechi za kirafikiJulai 23Simba v Orbret TVETJulai 24Simba...
CHEKI NAMNA MAKUNDI YA AFCON MWAKA 2021 YALIVYO, TANZANIA SAHANI MOJA NA WAARABU
MICHUANO ya Afcon nchini Misri mwaka 2019 imefika tamati na taifa la Allgeria wamebeba ndoo yao kwa mara ya pili baada ya miaka 29...
JESHI ZIMA LA SIMBA HILI HAPA
MABOSI wa Simba wameweka wazi jeshi lao ambalo watalitumia kwa msimu ujao ambapo kikosi hicho kitaundwa na nyota 26 pekee.Simba wametangaza kikosi hicho ambacho...
BUNJU KUMENOGA, UWANJA WA SIMBA UMEFIKIA HATUA HII
MAMBO yanazidi kuwa moto ndani ya Simba ambapo kwa sasa kazi ya uboreshaji wa uwanja wa Bunju inazidi kwenda kwa kasi.Huu hapa ni muonekano...
KOCHA MDOGO AMPA KICHAPO KAKA YAKE NA KUTWAA KOMBE LA AFCON
ALIOU Cisse Kocha Mkuu wa Senegal jana aliadhibiwa na mdogo wake waliyepishana siku moja tu kuletwa duniani.Hivvyo kocha mdogo amempa kichapo kaka yeka kisha...
YANGA WAJIPANGA KUWEKA KAMBI NJE YA NCHI BAADA YA DROO YA CAF
FRANK Kamugisha, Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili na Mashindano ndani ya Yanga amesema kuwa mpango wa kuweka kambi nje ya nchi haujayeyuka kinachosubiriwa ni...
HICHI NDICHO KILICHOMPA SHAVU BILAL ALLIANCE
ATHUMAN Bilal ndiye mrithi wa mikoba ya Malale Hamsin aliyekuwa anakinoa kikosi cha Alliance FC.Mwenyekti wa Kamati ya mashindano ya Alliance, Yusuph Budod amesema...
SIMBA: KWA USAJILI HUU NI MWENDO WA MAKOMBE TU
NYOTA mpya wa Simba, Ibrahim Ajibu amesema kuwa kwa namna kikosi kilivyo na kambi ya Afrika Kusini ilivyonoga lazima watetee kombe lao na kuleta...