ALGERIA BINGWA MPYA WA AFRIKA, AMNYOOSHA SENEGAL KIDOGO TU

0
BAGHDAD Bounedjah bao lake la dakika ya pili limetosha kuipa timu ya Algeria ubingwa wa Bara la frika kwa mwaka wa 2019 nchini Misri...

JESHI KAMILI LA AZAM FC LEO NUSU FAINALI KAGAME, CHIRWA OUT

0
Kikosi rasmi cha  Azam FC, kinachotarajia kumenyana dhidi ya AS Maniema ya Kongo, kwenye mchezo wa nusu fainali ya michuano ya Kombe la Kagame,...

SIMBA QUEENS WANAPETA TU MAJUU

0
KIKOSI cha timu ya Simba ya Wanawake, Simba Queens bado kinaendelea na ziara yake ya wiki mbili nchini Ujerumani.Ziara hiyo ambayo ni maalumu kwa...

TFF: MDHAMINI MAMBO SAFI, KINACHOSUBIRIWA NI KUSAINI TU MKATABA

0
WILFRED Kidao, Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) amesema mdhamini wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu ujao wa 2019/20 ameshapatikana na...

UNITED KUMVIMBISHA MIFUKO DE GEA

0
DAVID de Gea anatazamiwa kusaini kandarasi mpya ya miaka mitano kuendelea kuitumikia klabu yake hiyo huku mshahara wake ukizidi kutuna.Mlinda mlango huyo hakuwa na...

PSG: ISHU YA NEYMAR KUTAKA KUSEPA ILIKUWA INAJULIKANA KITAMBO

0
THOMAS Tuchel, Kocha Mkuu wa Paris Saint Germain amethibitisha kwamba Neymar anataka kusepa ndani ya kikosi hicho.Tuchel amesema kuwa alifahamu ishu hiyo ya nyota...

KOCHA STARS: MDOGOMDOGO TUNATUSUA CHAN

0
SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa timu ya Taifa ya Tanzania, amesema kuwa atashirikiana na bosi wake mkubwa Ettiene Ndayiragije kuifanya Stars kufanya maajabu michuano...

EVERTON INAVUTIWA NA EVERTON WINGA ANAYEKAMILISHA DILI LAKE KUTUA ARSENAL

0
ARSENAL ipo kwenye mazungumzo ya mwisho na nyota wa Gremio raia wa Brazil, Everton Soares.Winga huyo mwenye miaka 23 ameongeza thamani yake baada ya...

AJIBU ALALA HOTELI YA ROONEY SAUZI

0
WAKATI Jeshi zima la Simba likiwa linaendelea kujifua kwenye kambi yake nchini Afrika Kusini, imebainika kuwa sehemu hiyo ambayo Simba wameweka makazi paliwahi kukaliwa...

BIGIRIMANA AANZA KUITISHA SIMBA

0
KIUNGO mshambuliaji mpya wa Yanga Mnyarwanda, Issa Bigirimana ‘Walcott’ amesema kuwa katika kuthibitisha ubora wa ufungaji anaanza na AS Vita wanafuatia watani wao Simba.Staa...