HAWA HAPA WAPINZANI WA SIMBA, YANGA KOMBE LA SHIRIKISHO……
MABINGWA watetezi wa CRDB Federation Cup Yanga SC wamepangwa kucheza na Coastal Union katika hatua ya 32 bora ya miachuano hiyo.
Pia, Simba wao watacheza...
PAMOJA NA KUJIFUNGA JUZI….CHASAMBI ‘APEWA MBAVU SIMBA’
MAKOCHA na wachezaji wa zamani wamemkingia kifua winga wa Simba, Ladaki Chasambi kwa kosa lililotokea juzi wakiliomba benchi la ufundi kuzungumza naye na kuendelea...
WIKIENDI YA KUJIPIGIA KITITA NA EARLY PAYOUT…
Kama unavyojua wikiendi ndio siku za kuokota mkwanja wa kutosha na leo lile chaguo jipya ndani ya Meridianbet la Early payout ndio wakati wake,...
HUKU MKATABA UKIELEKEA UKINGONI…MABOSI YANGA WAMKAUSHIA JOB…..TIMU TATU ZAMTAKA..
KIKOSI cha Yanga kinaendelea kujiandaa na mchezo utakaopigwa keshokutwa dhidi ya JKT Tanzania huku, nahodha msaidizi, Dickson Job akiwatega mabosi wake kutokana na kuanza...
TAWALA ANGA HUKU UNAPIGWA NA MVUA YA PESA KUTOKA SUPER HELL YA MERIDIANBET…
Wakati unatawala anga kupitia mchezo wa Super Heli unapata fursa ya kunyeshewa na mvua ya kifalme kupitia promosheni ya (Royalty Showers) ambayo inaendelea kupitia...
ODDS KUBWA NA MACHAGUO ZAIDI YA 1000 YAPO MERIDIANBET….
Meridianbet wanakwambia kuwa nafasi ya wewe kuibuka na mkwanja wa maana ipo leo ambapo timu kibao Duniani zinaendelea. Ingia kwenye akaunti yako na usuke...
‘GUU’ LA CHASAMBI LILIVYOTIA MCHANGA PILAU LA SIMBA JANA….STORI YOTE A-Z HII HAPA….
MAKOSA yaliyofanywa na winga, Ladaki Chasambi dakika ya 75 kwa kurudisha vibaya mpira kwa golikipa, Mussa Camara, yameifanya Simba kupata sare ya bao 1-1...
KUHUSU POSA YA AZIZ KI KWA HAMISA….UKWELI HUU HAPA….MAMA MZAZI AFUNGUA A-Z….
MAMA wa msanii wa Bongo Flava na mjasiriamali, Hamisa Mobeto, Shufaa Rutiginga amesema mwanaye huwa hamfichi jambo lolote ikiwamo mahusiano yake na amekuwa mshauri...
PAMOJA NA SARE JANA….SIMBA HII KWA MAGOLI YA PENATI SIO POA AISEE😆😆…YANGA MHHHH…
ACHANA na matokeo ya mechi za jana na juzi ikiwa fungua dimba raundi ya 17 kwa Ligi Kuu Bara, kama hujui ni kwamba Simba...
KUMKATAA CHAMA, SPORTPESA…MAMBO YALIYOIFANYA YANGA KUMPIGA CHINI RAMOVIC FASTA…
LICHA ya kupeleka ombi la kuvunja mkataba ili aondoke klabuni kwa kilichoelezwa amepata ofa nono kutoka CR Belouizdad ya Algeria, lakini kuna mambo kadhaa...