WABABE WANAKIPIGA LEO LIGI YA MABINGWA ULAYA..ODDS ZA USHINDI HIZI HAPA…
Leo tena ni siku nyingine ya kujipigia maokoto kupitia ligi ya mabingwa ulaya ambayo michezo kadhaa itaendelea kwenye viwanja mbalimbali, Ambapo mabingwa wa michezo...
BAADA YA SIMBA NA YANGA KUGONGWA ALGERIA…BENCHIKHA AIBUA HOJA HIZI NZITO….
Kocha wa zamani wa Simba, Abelhak Benchikha ametaja makosa matatu ambayo Simba na Yanga zinapaswa kuyafanyia kazi kwa haraka kama wanataka kutoboa kimataifa.
“Kosa la...
ISHU YA MWENDA KUTUA YANGA ILIKUWA SUALA LA MUDA TU…WALIMFUATA KAMA CHAMA…
ZIKIWA zimesalia siku nne kabla ya dirisha dogo la usajili kufunguliwa Desemba 15 mwaka huu, Yanga imemtambulisha beki wa kulia, Israel Mwenda kuwa usajili...
AZIZ KI NA WENZAKE WAMCHEFUA KOCHA MPYA YANGA….ATOA MSIMAMO MKALI….
TATHMINI ya mitaani pamoja na mitandaoni inaonyesha mashabiki wa Yanga wamekosa imani kutokana na matokeo ya siku za hivi karibuni kwenye michuano mbalimbali.
Lakini kocha...
SIKU CHACHE BAADA YA KIPIGO CHA WAARABU…FADLU ATAJA WALIOIFELISHA SIMBA….
KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, amefunguka kuwa kichosababisha timu yake kupoteza kwa mabao 2-1 dhidi ya CS Constantine ya Algeria ni makosa madogo...
KUHUSU KIWANGO WA MAVAMBO …FADLU AVUNJA UKIMYA SIMBA…ATAJA KINACHOMFELISHA…
KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, amewaahidi wanachama na mashabiki wa timu hiyo ushindi Jumapili dhidi ya CS Sfaxien ya Tunisia utakaochezwa Uwanja wa...
KUELEKEA MECHI NA TP MAZEMBE….YANGA WAAMUA KUJIFARIJI KWA STAILI HII…
HUKU ikitarajia kuelekea DR Congo kesho kutwa, Alhamisi tayari kwa mchezo wao wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya TP Mazembe, Mkurugenzi...
KUELEKEA DIRISHA DOGO….UKIACHA NA MPANZU..MASHINE NYINGINE HIZI HAPA KUTUA SIMBA..
KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, amesema anahitaji kujaza nafasi chache tu za wachezaji kipindi cha dirisha dogo, lakini ni kwa wachezaji ambao wataingia...
REAL MADRID, PSG, LIVERPOOL WOTE WAPO KWAAJILI YA KUKUPA PESA LEO…
UEFA imerejea kibabe ambapo kuanzia saa 2 usiku kuna mitanange ya kukata na shoka, je wewe unajua kuwa kwa dau lako dogo tuu unaweza...
KUHUSU YANGA KUFANYA VIBAYA SIKU HIZI….ALLY KAMWE AITAJA MAN CITY YA UK….
LICHA ya kipigo cha mabao 2-0 ilichokipata juzi kwenye Uwanja wa Julai 5, jijini Algiers nchini Algeria dhidi ya MC Alger katika mchezo wa...