Meridianbet

KASINO INATAJIRISHA HARAKA CHEZA UONE….MZIGO UKO NDANI YA MERIDIANBET…

0
Kila mtu na bahati yake Meridianbet hakuna masuala ya nyota yako imefifia au oga maji ya bahari kuondoa nuksi, iko hivi kucheza na kushinda...
Haabri za Simba leo

AHOUA, MUTALE ‘WAWATOA MATE’ KAIZER CHIEFS…..NABI ATUA BONGO KUSETI MIPANGO….

0
KOCHA wa Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini, Nasredine Nabi ameondoka nchini na kumtimkia Ulaya kwa mapumziko, lakini hapa Tanzania alimuacha skauti wao mmoja maalum...
Habari za Yanga, Rulan Mokwena

WAARABU WAITIBULIA YANGA DILI LAKE NA MOKWENA….MBADALA WAKE NAYE SI HABA….

0
YANGA inaendelea kupasua kichwa juu ya kocha gani imchukue kwa ajili ya kulijenga upya benchi la ufundi la msimu ujao, na sasa ni kwamba...
Habari za Yanga leo

MRITHI WA AZIZI KI YANGA HUYU HAPA….MABOSI WAANZA KUFANIKISHA DILI MAPEMAAA….

0
KATIKA kile kinachoonekana kuwa mwanzo wa ukurasa mpya kwa klabu ya Yanga, uongozi wa timu hiyo umeweka wazi mikakati kabambe ya kuhakikisha msimu ujao...
habari za simba-fadlu

KISA KUFUNGWA NA SINGIDA JUZI…..FADLU AITAJA YANGA….AFUNGUKA A-Z UGUMU ULIPO…

0
KOCHA Mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids, amefunguka hali ya kikosi chake, akisema kwa sasa akili yake yote inaelekezwa kwenye pambano la Kariakoo Derby...
Meridianbet

RUKA JUU NA SUPERHELI, JISHINDIE SAMSUNG A25 MPYA….

0
Promosheni ya kibabe ya Superheli imekuja ndani ya Meridianbet mwezi huu Juni ambapo nafasi ya wewe kushinda ikiwa kubwa zaidi. Cheza Superheli sasa umiliki...
Meridianbet

PSG, SPURS, CHELSEA. NI MSIMU WA WALE WALIOSUBIRI SANA….

0
Msimu wa 2024/25 umekua wa kitofauti baada ya kushuhudia majina makubwa yakianguka huku majina yasiyotarajiwa yakipanda jukwaa kwa ajili ya kuvalishwa medali. Hili ndilo...
HABARI ZA SIMBA-MUTALE

BAADA YA KUANZA KUNG’AA UPYA …MUTALE AVUNJA UKIMYA SIMBA…ATAJA ALIYOKUWA ANAPITIA…

0
WINGA Joshua Mutale amekuwa mtamu kama mcharo. Kwa wanaokumbuka wakati anatua Msimbazi kutoka Power Dynamos ya Zambia, jina lake lilibeba matumaini. Mutale maarufu kama Budo,...
Habari za Simbaa leo

KUHUSU YANGA KUPATA BIL 1 FEI AKIENDA SIMBA….AZAM FC ‘WASHINDILIA MSUMARI’…UKWELI HUU HAPA…

0
Unakumbuka neno kipengele lilivyogonga vichwa vya habari wakati wa sakata la kuahirishwa kwa mechi ya watani wa jadi? Basi neno hilo limerejea tena kwa kishindo...
Habari za Yanga leo

KISA AZIZ KI KUSEPA MAPEMA….BEKI YANGA AVUNJA UKIMYA….ATAJA HOFU, UBORA WA TIMU…

0
NYOTA wa zamani wa Yanga, Haji Mwinyi Ngwali, ameshindwa kujizuia na kuibuka akiwatoa hofu mashabiki wa timu hiyo kuhusu kuondoka kwa kiungo mahiri, Stephane...