Yanga vs Simba Ngao ya Jamii: Mfumo Mpya wa Video Support (FVS) Kutumika Leo
Nchi inasimama! Itakapotimia saa 2:30 usiku wa leo, macho na masikio ya wapenda soka wote yatakuwa katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar, ambapo miamba ya soka…
Nchi inasimama! Itakapotimia saa 2:30 usiku wa leo, macho na masikio ya wapenda soka wote yatakuwa katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar, ambapo miamba ya soka…
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limethibitisha rasmi kuwa mchezo wa Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga SC na Simba SC utashuhudia mapinduzi makubwa ya kiteknolojia,…