Pigo Yanga: Aziz Ki Kuikosa Dabi ya Kariakoo Dhidi ya Simba
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, wamepata pigo kubwa kuelekea mchezo wao wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya watani wao wa jadi, Simba…
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, wamepata pigo kubwa kuelekea mchezo wao wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya watani wao wa jadi, Simba…
DILI LAIVA! AS FAR Yaongeza Dau la Allan Okello, Yanga Yamweka Sokoni Baada ya Aziz Ki Kurejea Upepo wa usajili ndani ya klabu ya Yanga…
Wakati masaa yakizidi kuyoyoma kuelekea kufungwa kwa dirisha la usajili, mashabiki wa Yanga SC wameendelea kukaa kwenye viti vya moto kufuatia tetesi zinazozidi kushika kasi…
Huku homa ya usajili ikizidi kupamba moto kwenye soka la Tanzania, jina la kiungo mshambuliaji wa zamani wa Yanga SC, Stephane Aziz Ki, limeibua gumzo…
Wamefunga mwaka kibabe! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kiungo mshambuliaji nyota wa Yanga, Stephane Aziz KI na timu nzima ya Azam FC, kufunga mwaka kibabe…
KIUNGO Mshambulijai wa Yanga, Stephane Azizi Ki amesema kuwa licha ya kuwa kinara katika mbio za ufungaji bora wa Ligi Kuu Bara lakini hafikirii kabisa…
Tangu alipoondoka Feisal Salum kwenye kikosi cha Young Africans kiungo mshambuliaji raia wa Burkina Faso, Aziz Ki amekuwa na kiwango bora sana akiwa kwenye jezi…
Wakati Kiungo wa Yanga raia wa Burkina Faso Stepehen Aziz KI akiwa hakauki midomoni mwa wapenzi wa Soka nchini kutokana na ubora wake anaouonesha katika…
Kuna uwezekano mkubwa wa Uongozi wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans kumsainisha mkataba mpya kiungo mshambuliaji kutoka Burkina Faso Stephane Aziz Ki ili…
Mshambuliaji wa Simba SC, Jean Baleke amefunga goli lake la 7 katika msimu huu wa Ligi Kuu ya NBC katika mechi dhidi ya Namungo FC…